Red Scorpion
JF-Expert Member
- Feb 1, 2012
- 5,736
- 4,252
*Leo I was in a daladala nikahisi kupolute ka hewa. Na since muziki ulikua mnene sana ndani ya daladala nikaamua nisijifinye saaaana.. Basi kwa raha zangu nikaachilia mzigo kwa sauti kubwa. Mara nikaona karembo kamoja white kakiniangalia with a smile , basi nika blow kiss na nikawink*. *Sasa muda kidogo nikajiskia kujikuna maskio, hapo ndio nilijua kumbe nilikuwa na headphones na gari haikuwa na muziki*... ♂♂♂