Baba mwenyewe ameamua kurudi bongo baada ya kifungo.
Halikuwa kosa la mtoto kuwa chokoraa
Nadhani stigma ya kuwa mfungwa inamuondolea uwezekano wa kupata kibarua huko pengine ni uamuzi mzuri kurejea. Kwa kweli ni jambo zuri lakini la hatari kumchukua mtu akiwa maeshakuwa mtu mzima, unakua hujui tabia zake halisi tofauti n uliemlea na kumshape.Baba mwenyewe ameamua kurudi bongo baada ya kifungo.
Kwa nature ya kosa lake hawezi kufanya kazi na vulnerable people ikiwemo watoto na kwenye job interview itabidi a declare hili kosa.Alikula mvua ngapi Sky?
Ila hapo mama alikosea kuita Police, wangelisolve tu Kimtaani. Na is it difficult kuajirika ukishafungwa?
Sent using Jamii Forums mobile app