Story: Mahusiano

Ninayo imani ya kutosha kwa Honey Money Penny . Vishawishi sijui vya 80 milioni ama 3sumCum na kadhalika havimsumbua Honey Money Penny .

Endelea kushusha utamu Money Penny .
Thubutuuuuuuuuuuuuuuu!!!!!!! Jina lenyewe tu linasadifu pesa pesaaaa
Hahaha nimekupenda bure honey
Basi Kuanzia Leo mimi na wewe tuwe ma honey kama Smart911 na mahondaw unasemaje

Kila sehemu unanitag
Tihtihtihtihi [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] niache basiii dadadeki mbavu zanguuuuu mwenzio!!



Cc Smart911
 

Money Penny kwa jinsi ulivyo laini hizo ngumi umerushaje? Si angekuchakaza dimples hizo...

Money Star ni pacha wa Anita. Money Star alikua ex wa Aloyce. Aloyce sasa hivi anamtaka Anita. Duu...

Na Subira ane atakua ex wa nani?


Cc: mahondaw
 


haaaaaaaa Smart911 ' s empire sio ya nchi hii... haina mapepe haina papara... inajiamini kupita maelezo.... as you can see you borrowed a leaf from us hili lipo uchiii kabisa halina kufichaa .. dat is just an intro

Money Penny huyo tunamnunua kabisa mbona wee subiri... huyo mtwangio na wallet kwisha habari yake
 
Hehe e naona dogo kanielewa basi ngoja tuambatane kama kumbukumbi yaishe
Wewewewewewewewe unatakaga kugandana wewe??? Tena hivihivi tu ?? [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji12] [emoji12] [emoji12] papaa mwenyewe mmetoka mbali ila kazi zisizo na malipo huna huo ujinga



Cc Smart911
 
Tihtihtih Amekupenda bure..
Dadalake Wewe ni wa bur😎ebure wewe????
Mavi ya 50thebe [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji1] [emoji1]

Cc Smart911
Uzuri Honey Money Penny ni mwelewa. Uchokozi huu wa mahondaw nitauacha upite kwa sasa. Seriously. Huko tuendako uchokozi huu ukiendelea nitajua namna ya kumweka sawa Honey Money Penny . Smart911 mkanye laazizi wako mapema. Akianza kukubadilikia usinilaumu.

Honey Money Penny usikonde moyo sweetheart, natania tu 😎 😎😎
 
Nibadilike?????? Thubutuuuuuuuuu labda sio kwa Smart911.. Vile nampenda huyu mwanaume wee acha tu. Kwa smart papa akasome tena awali.... Smart ninambaaaaaaaaa ledada mwenyewe ashamuelewa Kitambooo aliomba walau 3sum nani akubali sasa???
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…