Hahahahaha nahivi wametoka mbali sijui Yani... Wacha tusubiri yatayojiriWewe ni mlokole faki kama Pastor Patrick...
Unapokea peaa huku na huku...
Umemuunganishia tela Patrick kwa Anita na Subira... wakati wewe mwenyewe unataka pia...
Cc: mahondaw
Toka mwanzo nilishamwambia hana ulokole wowote...Hahahahaha... Finally nimemaliza... Sasa tutaenda sambamba.... dadalake don't forget to tag us as usual... Ila mi pia nimepata doubt peny kudondokea kwa papaa sio kwa bumbuwazi Ile naivi keshaambiwa papaa ana mtwangio heheheeeeee....... Let's wait
Cc Smart911
Hahahahaha.. Ulokole kipaji lol Badae watakua maadui wakubwa nakwambia wote watagombania mtwangio la papaa tihtihtihtihi..Toka mwanzo nilishamwambia hana ulokole wowote...
Na kawasukumia hotelini ili nae aende...
ila piga galagaza subira kakutamanisha kinomahahahaha
hahahaha pastor handsome alafu anadyudyu laaja chezea pastor nini lazima ukae nabado unakadi yake yaATM naamekwambia hiyo nimoja2 ila anazo kadi zabenk nyingine mbili lazima udenda utoke nausiseme ukanimalizia uhondo wakeshoHAHAHAHA UUUWI WE NGOJA TU me thithemi
Kweli lete leo bana nakama ukileta nishtue ili udwambwiudambwi usinipitehahaha mnanitukana sana ngoja nilete hadithi leo yaishe!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] afu money penny baada yakusikia kuwa jamaa anaaccount 3 zenye mpase akabadili uelekeoafu hapo nahisi money Penny hatuchanganyia madesa mapema sana duhh!! kuanza na kuanza hio threesum mhmh.... Anita mlokole naona ameruka stage mpka kwenye threesum
cc Smart911