Story: Mahusiano

Kwakweli
Nitakuletea zawadi toka Germany chagua
Khakhakhaaaaaaa.... Smart911 sweetlove naomba nisaidie zawadi toka kwa dada.. Afu net nyokko sana ichonifanyia leo sicho kabisa..
Yani hapa nikijiroga kufungua notifictaion nyingine tofauti na huu uzi tu kuja kuupata tena huu uzi mpaka nipate notifictaion yahuku.. Nikiutafuta mwenyewe sioni komentii
 
Subira nimemuelewa ni mcharuko...

Anita sasa mbona kafanya mambo ya kijinga sana... mbona kawa mwepesi hivyo... mara hii 3sum tayari...

Kinachofuata hapo ni Money Penny na Patrick...

Hotelini wende kufanya sasa wakati washamalizana...


Cc: mahondaw
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…