Story: Kwanini Upo Single?!

Story: Kwanini Upo Single?!

Kwa
Za Leo
Najua nimepotea sana ila nipo

Swali langu kubwa Kwako kabla sijaendelea na hadithi ni Kwanini Upo single?!

Ndio wewe hapo, naongea name wewe Kwanini Upo single?!

Dada/Kaka Mzuri, unamvuto, uko poa, mchangamfu, mtanashati, unakipato cha Kati, unagari, unakazi, una hela, hauna ajira, unabiashara zako, hauna kazi, unamaisha yako, unaishi Kwako, unaishi kwenu, handsome, gorgeous, Beautiful, wife material, husband material, etc etc

Vyote na quality zone unazo za kutokuwa single... lakini bado upo single

Najua ungetamani kuwa na mji wake, uwe na nyumba yako, maisha flani hivi amazing, unasomesha watoto ukiwa na mwenzako, unalea watoto ukiwa na mwenzako, mnaenda vacation na mwenzako na watoto wenu, mambo ya family goals flan hivi amazing, eh!

Haya mambo ya u single mother yanaboa sana kuwa single kunachosha jamaa, kukalia mitarimbo ya waume za watu kwa kujiiba hayajawahi kumwacha mtu salama na haujui lini utakamatwa na kuwekwa mitandaoni (hewamini) au kuchomwa moto kwa kuiba mume ya mtu, unatamani ukienda kwenye sherehe uende na mpenzi (mwenzi) wako ufurahi, uringishie, unatamani uoe (uolewe) urudishe heshima nyumbani na wewe uringe uwe kwenye chama jomooonii

Sipo hapa kukuhukumu maisha hayafanani na hutoa surprise kwa kila mja wa mola..

Nakuuliza kwa amani na upendo tu
Embu tuambie kwanini upo single?!


Kwa sababu sijampata wa kuweza kuibadili hii status ya single kwenda double. Bado nangojea wakati wa BWANA.
 
Nilisoma shule za uboizini from primary mpaka advance!..
Mara ya kwanza kusoma Na garl nikiwa chuo kikuu!.
Lakin hisia zao Sina kabisa !.
Ninazo nguvu but garl sina
Kama hauna hisia na chiu utakuwa na hisia na nini tena kama sio dyudyu
 
Nipo single cause ubavu wangu/mke mwema mungu hajanipatia ninaowaona wote ni viwavijeshe kwa kupeperusha mali zangu kwa starehe zisizo na maana. Mwisho wa kunukuu
Doh pole sana
Labda ubadilishe direction ya mawimbi ya meli yako
Kama kaskazini hamna unachotaka nenda Magharibi au Kusini au Kaskazini
 
Me co muoga ila kla m2 ana aina ya maisha alyochagua. Kla m2 anaona njia yake n sahh ila mungu anaitazama mioyo. Hebu nkuulze ww n sababu ipi inakufanya uolewe / kuoa
Hii story sio ya ndoa ni ya kwanini upo singo
 
Mrembo yeyote atakaejidhihirisha kuwa yupo single hapa hakika nitatangaza nia ya kuwa nae.

Mleta uzi nafikiri neno "single"siyo sahihi sana labda ungesema unmarried
 
Back
Top Bottom