Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
- Thread starter
- #21
HihihiHamna maisha ya raha kama ya single.
Raha yake nene labda?!
HihihiHamna maisha ya raha kama ya single.
Unanihurumia nn sasa?Hahahahaha
Nakuhurumia unataka nini kwa grandma
Endelea kutaja majina ya watu ukikamatwa na waume zao sitakuwepo kukuteteaNisamehe Mkuu,ilikua utani tu!
Unapenda mabibiUnanihurumia nn sasa?
Kwan unafikiri mimi kijana?Unapenda mabibi
Kuish na m2 alyelelewa mazngra tofaut na ww. Yy ana tabia yke na ww una yko had mje kuwa sw kaz ipo. Angalia kla cku wadau humu wanalalamika. Hlf xx hv hmn true love wa2 wanaangalia pay. Xx hv ndoa ajra.Hihihi
Raha yake nene labda?!
HahahaKwan unafikiri mimi kijana?
Nimekula chumvi bibie, njoo tuyajenge
Acha kelele,Hahaha
Hakuna cha kuyajenga sasa hivi tunasubiria kengele ya kurudisha namba tu kwa Muumba
Mengine yote ni ubaditili na kujilisha upepo
Acha uoga wewe wazazi wako wangekuwa selfish kama wewe usingezaliwa mjombaaKuish na m2 alyelelewa mazngra tofaut na ww. Yy ana tabia yke na ww una yko had mje kuwa sw kaz ipo. Angalia kla cku wadau humu wanalalamika. Hlf xx hv hmn true love wa2 wanaangalia pay. Xx hv ndoa ajra.
Nenda uwanja wa fisi kuna kila beiAcha kelele,
One night bei gan?
Kama Huna cha kutueleza kwanini upo singo naomba ukae kimyaHahaha,acha mbwembwe!naogopa tu ban,lasivyo ningefunguka,nakujua vizuri!
Bado unarudia kupiga kelele tu?Nenda uwanja wa fisi kuna kila bei
Hapa umepotea njia kama sio kuingia choo cha jinsia tofauti na yako
U sound selfish
Biblia inasema mpende jirani yako kama nafsi yako
U sound selfish
Biblia inasema mpende jirani yako kama nafsi yako
Mungu anakuona usiwe mbinafsiKuwa single kuna raha yake asikwambie mtu. Jiingize kwenye double uone! akuuuu ngoja kwanza ..... vunja mifupa bado meno iko
Doh we bora ubakie kama Mtume Paulo wa kwenye Biblia tuSawa ila kwenye survival unaanza kujiwaza mwenyewe kwanza
DohUkiachwa siku zote utaipenda HIPHoP kusikiliza ndomana yanazaliwa maneno haya ya single