Money Penny
JF-Expert Member
- Jun 20, 2016
- 18,204
- 17,560
- Thread starter
- #181
Thank unoted
Thank unoted
Hahaha
Usijali kama ulinifananishaga na Lara1 hata baadae hadithi ikiisha hautanifananisha na Mwelu tena
Tazizo ni vizinga shemela ningekuwa nimeoa kitambo tu, yaan nikianza tu kutoka na demu flan anakugeuza ATM ya NMB, na mimi nikiona hivyo navunja ile rekodi ya Bolt aliyoweka kwenye Olmpiki, sina mke na sitaki demu wacha nikomae na vya kununua
Umemwona Mwelu hapo juu Kakake?!
Mimi nikimaanisha mtoa hadithiNi vile tu wote mnaanda makala na kuandika hadithi...
Wote akili zenu mnazijua wenyewe...
Wote mnamaneno mengi sana na watukutu...
Ila in other hand, personal wote ni wapole sana...
Kwenye hadithi yako umesema mimi ukimaanisha wewe Money Penny kama ndiyo Mwelu...
Cc: mahondaw
A ahaha nanilihuu taaamu baab!Mahusiano yanachosha. nipo likizo japo kuwa muda mwingine na miss vitu flan flan vya kwenye mahusiano.
Shemela tohara ulipataga ulipokuwa mdogo au?!Tazizo ni vizinga shemela ningekuwa nimeoa kitambo tu, yaan nikianza tu kutoka na demu flan anakugeuza ATM ya NMB, na mimi nikiona hivyo navunja ile rekodi ya Bolt aliyoweka kwenye Olmpiki, sina mke na sitaki demu wacha nikomae na vya kununua
A hahaha Mwelu ndio wale wale wanaotumwagadaaah
hapana aiseeee,
nimechelewa kuiyona sister but ahsante nisha icheki,
iko vizuri but huyu mwelu ana mapepo sio bure
Mahusiano yanachosha. nipo likizo japo kuwa muda mwingine na miss vitu flan flan vya kwenye mahusiano.
daaah
hapana aiseeee,
nimechelewa kuiyona sister but ahsante nisha icheki,
iko vizuri but huyu mwelu ana mapepo sio bure
Above 18, coz bila ngaz ukiwa mdogo unazingua!Shemela tohara ulipataga ulipokuwa mdogo au?!
Hahaha a what a lame excuse shemAbove 18, coz bila ngaz ukiwa mdogo unazingua!
Ni vile tu wote mnaanda makala na kuandika hadithi...
Wote akili zenu mnazijua wenyewe...
Wote mnamaneno mengi sana na watukutu...
Ila in other hand, personal wote ni wapole sana...
Kwenye hadithi yako umesema mimi ukimaanisha wewe Money Penny kama ndiyo Mwelu...
Cc: mahondaw
Za Leo
Najua nimepotea sana ila nipo
Swali langu kubwa Kwako kabla sijaendelea na hadithi ni Kwanini Upo single?!
Ndio wewe hapo, naongea name wewe Kwanini Upo single?!
Dada/Kaka Mzuri, unamvuto, uko poa, mchangamfu, mtanashati, unakipato cha Kati, unagari, unakazi, una hela, hauna ajira, unabiashara zako, hauna kazi, unamaisha yako, unaishi Kwako, unaishi kwenu, handsome, gorgeous, Beautiful, wife material, husband material, etc etc
Vyote na quality zone unazo za kutokuwa single... lakini bado upo single
Najua ungetamani kuwa na mji wake, uwe na nyumba yako, maisha flani hivi amazing, unasomesha watoto ukiwa na mwenzako, unalea watoto ukiwa na mwenzako, mnaenda vacation na mwenzako na watoto wenu, mambo ya family goals flan hivi amazing, eh!
Haya mambo ya u single mother yanaboa sana kuwa single kunachosha jamaa, kukalia mitarimbo ya waume za watu kwa kujiiba hayajawahi kumwacha mtu salama na haujui lini utakamatwa na kuwekwa mitandaoni (hewamini) au kuchomwa moto kwa kuiba mume ya mtu, unatamani ukienda kwenye sherehe uende na mpenzi (mwenzi) wako ufurahi, uringishie, unatamani uoe (uolewe) urudishe heshima nyumbani na wewe uringe uwe kwenye chama jomooonii
Sipo hapa kukuhukumu maisha hayafanani na hutoa surprise kwa kila mja wa mola..
Nakuuliza kwa amani na upendo tu
Embu tuambie kwanini upo single?!