glass amo
JF-Expert Member
- Aug 11, 2017
- 3,825
- 4,638
mmmmmhUna niona wapi kiongozi?!
Hawa garl me cnaga interest nao kabisa!.
aisee mkuu wanishangaza kidogo, so wewe una interest na na vile vya 071????
mmmmmhUna niona wapi kiongozi?!
Hawa garl me cnaga interest nao kabisa!.
Hahaha aHichi kitu mm kinanitesa sana, najikuta nakosa sana confidence na magirl...
Kuna demu ashawahi kuja geto kwangu akaleta kaugumu gulan cha kuvua chupi na mm kifosi huwa siwezi..
Baada ya kuondoka kwenye sm na muuliza kwann umeninyima? Kajibu ww ni mwanaume ilibidi utumie uwanaume wako chimban..
![]()
Hujampataga KOKU au?!Hahahahaa hahahahaa
Ukaleta habari za uboizini?!!
Daah kuna manzi nilikuwa naye chuo akawa ananiwekea pozi siyo!.
Sasa kuna siku akaja ghetto
Kufika nikaona anaanza kujifunua funua
Nikasema isiwe taabu nikamfunika Na kumtoa nje!.
Aseeee alishangaa Sanaa!.
Nadhan upumbavu wa garl kuambizana
C akawaambia wenzake daah.
Ikawa kila siku napata ugeni wa garl
Oh Sante sana HoneyHoney @Money Penny hukosei!
Ukweli wa mahusiano ya kimapenzi ni kuridhishana kwenye shughuli yenyewe ya kuingiliana (intimacy act). Pesa ni sabuni tu, ama sukari kwenye keki.
Namna gani watu waridhishane kwa kutumia nyenzo walizonazo? Ndio utamu na uhondo wenyewe wa swali lako hili adhimu. Hukosei Honey @Money Penny.
Much love honey
Anataka wanawake kama KOKU wa Page ya 6mmmmmh
aisee mkuu wanishangaza kidogo, so wewe una interest na na vile vya 071????
KOKU umemwelewa lkn?!
KOKU umemwelewa lkn?!niko double
Pole sanaUmenigusa sana, binafsi ni msomi nimehitimu shahada yangu ya kwanza ya Comp sc chuo kikuu dar, miaka mitano nyuma na nakazi serikalin lakin nimekuwa mtu wa kuish maisha ya kuunga unga sana kwa wanawake, na hiyo yote ni kwasbbu ya kuchagua sana, dini ya ukatolik na kabila langu na pia elimu kuanzia dipo
Hahaha aUna niona wapi kiongozi?!
Hawa garl me cnaga interest nao kabisa!.
Huku kwangu ni page no4Hahaha a
KOKU umemwelewa lkn kwenye page ya 6?!
Nilimsoma ile jana ila mleta story aliniuzi kutumia jina la dada yangu mpka ubini..Hahaha a
Pole
Umekuwa kama KOKU
MSOME PAGE YA 6
Page no 6 angaliaHuku kwangu ni page no4
Labda useme post namba ngapi nipitie mchango wake
Sina Hela