50thebe
JF-Expert Member
- Mar 10, 2011
- 4,139
- 4,117
Jamaaani Tereza mpole hana kiburi
Au unawajua nduguzako wagita ni viburi?!
ha ha haa!
Upole na ukorofi haijawahi kuwa sifa ya jumla! Ukiona mdau anatupia sifa hizi kama blankenti ujue ipo shida, tena shida kubwa mno.
Itoshe kusema sababu za Teresia kupigwa haziko wazi!