Stori ya Mentor

irumba1

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2013
Posts
882
Reaction score
322
Aman kwenu wana Jf, naulizia ile stori ya huyo jamaa tajwa hapo juu(Mentor) iliishiaga wap?,niliisoma nadhan niliishia sehem E,aliyo nayo au yeye mwenyewe anitumie hapa niimalizie irumba8@gmail.com
 
Haya Mentor ukuje huku,unadaiwa story!
 
Last edited by a moderator:
wewe kweli mufuatiliaji wa mambo hapa jf hata hiyo ya malongo ntandatu inaikumbuka ngoja aje mwenyewe Lecture wa HARVAD UNIVERSITY
stor ya kipndi analinda kwa wazir,hadi kusoma a/c Arusha hatimae kuacha mimba kwa mtoto wa kikenya nadhan mmenipata
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…