Hauna shida kaka Mawazo255Kwani mimi nina shida gani dada
ππAisee hapa kazi ipo
Anacheka kama mazuriiππ
Elevenn acheni kuniuzia kesi
πππInabidi ukubali tu sasa utamfanya nini Joanah na humjui mimi mwenyewe naona hii vita siiwezi
AiseeUshaanza kujitekenya
Hapo umekaa na simu zako mbili na PC yako busy kujibu kwa IDs zako 3 kama operator ππ
Seran njoo uamue mi sitaki banUshaanza kujitekenya
Hapo umekaa na simu zako mbili na PC yako busy kujibu kwa IDs zako 3 kama operator ππ
Ukikubali mods wanakulima banInabidi ukubali tu sasa utamfanya nini Joanah na humjui mimi mwenyewe naona hii vita siiwezi
Si wanajua, we unafikiri ukiweka email hawatrack...? Kingine device zinasoma kule so lazima wajue tuUkikubali mods wanakulima ban
Joannah kumbe dada huwa unaniwazia mabaya kiasi hikiπππ
Am out!
Hahahaha wewe nitalipiza tu sio bureπππ
Am out!
Nimecheka sana,Zamu yako imefika eeh, tulia uionje joto ya jiweπ