Stori ya kijasusi - HEKAHEKA!

Daaaaah hii hadithi imepangiliwa vzr sana...ndani yake kuna vionjo tofauti tofauti.furaha,huzuni,vichekesho n.k,kama una group la WhatsApp la stories kama hz zenye kusisimua tafadhali tujulishe tuweze kua washiriki.hongera sana na mungu akubariki kwa kuifanya ijumaa yangu iishe vyema. Live long JF

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Toa na huku hizo Hadith na ninakuomba unitag mkuu member wako
 
Nzuri sana mkuu
Sent from my SM-J110H using JamiiForums mobile app
 
Shukrani sana Bishop Hiluka, japo kama imeishia njiani ila nzuri sana nilitegemea brown angekutana na Maximilian lakini imeshindikana

Sent using Jamii Forums mobile app
Wakati mwingine kama mwandishi, unatakiwa kumaliza hadithi yako katika namna ambayo utawaacha kwenye 'dilemma' wasomaji wako, lakini pia itaweza kukupa nafasi ya kuandika part 2. Usihofu mkuu popie, kuna Hekaheka namba 2 ipo jikoni inapikwa. Hiyo ni balaa, mwanzo mwisho ni full ujasusi...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante sana Mimi ningeomba pamoja na hayo mafwedha angalau niwarudishie wale mabwana waliokuwa wananipa kichapo
 
Asante sana bishop ila kwa nini asiseme yeye uholanzi anafanya kazi sehemu fulani na ana familia yake watesaji wachunguze kuanzia hapo. Akisema mimi sifahamu tu haiaminiki. Au wampe ruhusa ampigie simu mamaake amuulize kama walizaliwa mapacha
Heri wewe umegundua, mwandishi kashindwa kuipangilia story yake kiasi cha kuondoa ladha. Nadhani watunga story wetu bado wana safari ndefu sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…