Stori ya kamuzu Banda na Malkia Elizabeth wa Uingereza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Stori ya kamuzu Banda na Malkia Elizabeth wa Uingereza

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by silent lion, Jun 3, 2012.

 1. s

  silent lion JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 530
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Wadau kama mnavyojua leo ndio maadhimsho ya miaka 60 tangu Elizabeth II atawazwe kua malkia wa Uingereza.

  Sasa kuna kitu kimoja nimekikumbuka leo na naomba kwa mwenye kumbukumbu atujuze.

  Nilipokua mdogo nilikua nasikia eti yule Ex Rais wa malawi hayati Hasting Kamuzu Banda alikua ni daktari binafsi wa Malkia. Na kazi yake kubwa ilikua ni kutibu sehemu ya uzazi (nyeti) ya huyo Queen.

  Sasa Waingereza kwa kuhofia Dk Banda asije kula tunda, ikabidi wampe sharti la kuhasiwa. Na yeye akatoa sharti kwamba sawa ila apewe Urais wa Malawi. Wakakubaliana and the rest is history.

  Jee wenzangu habari hii ni ya kweli?
   
 2. Ndibalema

  Ndibalema JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 26, 2008
  Messages: 10,914
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 160
  Hii story nilishaisikia lakini ilikuwa tofauti kidogo.
  Inasemekana kuwa Malkia alikuwa ni mgonjwa na daktari pekee wa kumtibia alikuwa ni Banda.
  Ugonjwa ulikuwa sehemu 'mbaya' ndipo kwa kutomwamini daktari huyo mweusi wakapeana masharti ya kumwasi.
  Naona si kweli kwa sababu zingeweza kutumika njia nyingine za kumwepusha Banda kula tunda.
   
 3. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 10,431
  Likes Received: 2,679
  Trophy Points: 280
  sijui nani huwa anazitunga.....
   
 4. ALF

  ALF Senior Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 17, 2011
  Messages: 178
  Likes Received: 66
  Trophy Points: 45
  je hayo mambo yalifanyika lini? Sababu banda ana mtoto nafikiri anaishi Afrika Kusini. Au alihasiwa baada ya kuwa na mtoto?.
   
 5. I

  IPECACUANHA JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 19, 2011
  Messages: 1,810
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  That is a MYTH
   
 6. s

  silent lion JF-Expert Member

  #6
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 530
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  Mkuu kumbuka Banda alizaliwa 1898 na elizabeth alitawazwa kua Malkia mwaka 1952 yaani Banda akiwa na miaka 54. So inawezekana ikawa kweli.
   
 7. MwalimuZawadi

  MwalimuZawadi JF-Expert Member

  #7
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 1, 2007
  Messages: 643
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Wangekuwa walimkorokochoa miaka hii, mbegu zingewekwa kwenye friji. Wait a minute, walimkorokochoa ili iweje, maana kuna mambo mawili hapa; mbegu na kisafirisha mbegu. Walilenga nini zaidi?:behindsofa:
   
 8. s

  silent lion JF-Expert Member

  #8
  Jun 4, 2012
  Joined: Feb 28, 2012
  Messages: 530
  Likes Received: 83
  Trophy Points: 45
  May be both
   
 9. Mzee wa Rula

  Mzee wa Rula JF-Expert Member

  #9
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 8,176
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Hivi inawezekana kweli malkia augue kisha Dr. awe ni Banda, yaani Ulaya nzima akosekane aje kupatikana Afrika labda kama ni miti shamba.
   
 10. zomba

  zomba JF-Expert Member

  #10
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 27, 2007
  Messages: 17,082
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 0
  Uongo mtupu.
   
 11. Mamaya

  Mamaya JF-Expert Member

  #11
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 3,696
  Likes Received: 385
  Trophy Points: 180
  Akili za mbayuwayu changanya na za kwako.......
   
 12. dizbap

  dizbap Senior Member

  #12
  Jun 4, 2012
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 154
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Lisemwalo Lipo! Si unajua tena maneno haya bwana.....!
   
 13. King Kong III

  King Kong III JF-Expert Member

  #13
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 15, 2010
  Messages: 25,115
  Likes Received: 2,219
  Trophy Points: 280
  Propaganda zile kama zile story za nyerere na kawawa funika kikombe!!
   
 14. Ukwaju

  Ukwaju JF Bronze Member

  #14
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 8,017
  Likes Received: 558
  Trophy Points: 280
  Hata mm nilishayasikia hayo, isipokuwa ni uzushi kwani mgonjwa hatibiwi na Dr mmoja bila ya nesi.
  Sasa wazungu watamwachaje Banda na Malkia :doh:
   
 15. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #15
  Jun 4, 2012
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 36,359
  Likes Received: 14,634
  Trophy Points: 280
  ni uongo
   
 16. Angel Nylon

  Angel Nylon JF-Expert Member

  #16
  Jun 4, 2012
  Joined: Jul 26, 2011
  Messages: 4,375
  Likes Received: 1,208
  Trophy Points: 280
  hata mi nlisikia
   
 17. Mtambuzi

  Mtambuzi Platinum Member

  #17
  Jun 4, 2012
  Joined: Oct 29, 2008
  Messages: 8,751
  Likes Received: 1,127
  Trophy Points: 280
  Kwa miaka ile uvumi huu ulivyoenea ilikuwa ni kweli kabisa, kwa sababu huo ndio ulikuwa mwisho wa uwezo wetu wa kufikiri............
   
 18. N

  Nasolwa JF-Expert Member

  #18
  Jun 4, 2012
  Joined: Jun 12, 2008
  Messages: 1,803
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 145
  Hizi habari zina dalili zote kuwa ni za kutunga na kuunganisha unganisha, kwa hiyo ni za uongo na uzushi tu
   
 19. Pascal Mayalla

  Pascal Mayalla JF-Expert Member

  #19
  Jun 4, 2012
  Joined: Sep 22, 2008
  Messages: 22,998
  Likes Received: 12,551
  Trophy Points: 280
  Habari hizi zinaweza kuwa ni za kutungwa ili zilikuwepo. Watungaji sio sisi.

  Nilichosikia mimi ni hivyo hivyo kuwa Hastings alikuwa the best gyno na ndie alikuwa gyno wa qeen.

  Kabla haja muatend alikuwa akipigwa nusu kaputi ili kutunza usalama wa malkia. Sasa kuna siku kiwango kilizidi hivyo kumfanya jamaa akawa importent.

  Ili kumpooza ndipo Malkia akampa zawadi koloni lake la malawi. Ndipo akatafuta jina la Kiafrika la Kamuzu Banda! na kujiita rais wa maisha.

  Hakuzaliwa Malawi, hakuwa Mmalawi, hakuzungumza lugha yoyote ya kiasili ya Malawi zaidi ya Kiingereza, alikuwa na mke zuga ila hakuwa na mtoto. Hakuna kumbukumbu zozote za kihistoria kuonyesha Hasting alizaliwa wapi na asili yake ni wapi bali alikuwa mtoto wa familia ya waliokuwa watumwa huru.

  Mimi niliwahi kutembelea kaburi lake liko nje kidogo ya jiji la Lilongwe!.

  Ukiondoa Jo Burg na Cape Town, Lilongwe ndio mji uliojengeka kwa modern planning kuliko mji mwingine wiwote barani Africa South of Equator,
   
 20. KALYOVATIPI

  KALYOVATIPI JF-Expert Member

  #20
  Jun 4, 2012
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 1,419
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Kipindi nipo darasa la 5 mwaka 96 kuna jamaa alikuwa muongo sana pale shule ya msingi vingunguti 'A ndo alitushushiaga uzi huu. Dah yule jamaa sitamsahau
   
Loading...