Stop sagging pants!!!

Stop sagging pants!!!

Tatizo yale ya kijinga tunaweza kuiga, yale ya maendeleo tumeshindwa kuwa wa bunifu mbaya zaidi hata copy and paste imeshindikana.

mkuu, hivi mzizi wa tatizo uko wapi hasa?
 
kadri siku zinavyoenda.... hali inazidi kuwa mbaya!!

sagging-pants-level-black.jpeg
Haya maradhi kwa kweli!
Sasa Hiyo anayoiburuza Si angeivua tu aweke begani!!!
 
Sasa hao wawili wa kwanza, wanavutia hivyo je dada zao wakoje? Ni upuuzi wangu tu nawaza Lol!

aaargh!! kama yanavutia basi wangeyapeleka national museum yawe kivutio cha watalii!!
 
Bango limeenda shule hili...
Utakuta mengine shule yameenda enda lakini bado yanavaa hivyo!

eti wanadai mjasiri haachi asili...

ujinga mtupu!.. halafu serikali nayo iko kimya.. sijui inawaza nini?
 
Ni kutojitambua tu,,mwenye akili zake sawasawa haezi kuiga ujinga badala ya mazuri...
 
Hao sio rizki wakiitwa machoko wanandumbwanda tu fyokooooo sipendi huo ujinga
 
Duh hii kali aisee. Mi nikiwaonaga huwa wananichefua sana hawa . Hivi walisema eti sanaa ni kioo cha jamii sasa mbona huyu sijui almasi au diamond nae anavaa haya makitu lol
 
Hao sio rizki wakiitwa machoko wanandumbwanda tu fyokooooo sipendi huo ujinga
MankaM.. hebu vuta picha...!

mwanaume unayempenda kwa moyo wote, na ambaye hufikirii kabisa kumuacha kwa baya na jema..

ndiye anayevaa hivi na hana mpango wa kubadilika! je, utafanya lipi hasa kukwepa tatizo?
 
Last edited by a moderator:
MankaM.. hebu vuta picha...!

mwanaume unayempenda kwa moyo wote, na ambaye hufikirii kabisa kumuacha kwa baya na jema..

ndiye anayevaa hivi na hana mpango wa kubadilika! je, utafanya lipi hasa kukwepa tatizo?

nmemwangalia hapa. na alivyozeeka eti nimkute amevaa hivyo! imebidi tu nicheke.
 
Last edited by a moderator:
Ktk hali ya kawaida tu nitaboreka tena sana jaman

mbaya zaii ndio anakua ashaamua humwambii kitu kuhusu hilo hapooooo sasaaaaaa sijui nafanyaje eti Excel naona kama sipati jibu la haraka nitafanyaje
 
Back
Top Bottom