Mutakyamirwa
JF-Expert Member
- Jan 24, 2011
- 4,942
- 1,360
Sina Hasira Mkuu bali hali halisi n kwamba watu watapoteza uhai bila ya Serikali kujali hvyo tutapoteza ndugu zetu,wake zetu,waume zetu hivyo tuonyeshe Ukomavu na kuachana na suala la Gesi na tutizame tu watakavyofanya kisha rungu letu tulihamishie 2015 hawa hawasikii chochote na hakuna huruma hapa.
Mkuu,
Inaonekana una mengi ya kusema na uliyoona....kama serikali inaendelea kuua raia wake sema. Nimepitia maelezo yako inavyoonekana taarifa tunazopata si kamili. Pls keep records kama kuna mass killings....
Kama wanadiriki kufanya hivi sasa sidhani kama kura wataruhusu zipigwe kwa amani. JK alisha sema hakabidhi nchi kwa wapinzani...ili walishafanya zanzibar and they will attempt to do it in Bara.