"Stop! Lete kibali cha ujenzi" Kwani mamlaka ipi inatoa kibali?

Morning_star

JF-Expert Member
Apr 21, 2018
5,319
14,995
Wajanvi! Kwa wanaojenga maeneo mapya nje ya viunga vya jiji la Dar na Kibaha wanakumbana na kadhia hii wanapoanza ujenzi!

Je, Ni mamlaka hipi iliyokasimiwa kutoa kibali cha ujenzi?

Ikizingatiwa ni ujenzi wa nyumba za kawaida "bungalows" na wala sio gorofa! Kwenye katazo hili chini yake wanaandika "fika ofisini".

Je! ni ofisi za serikali za mitaa au wilayani au mkoani?

Njoo mtujuze!
 
Wajanvi! Kwa wanaojenga maeneo mapya nje ya viunga vya jiji la Dar na Kibaha wanakumbana na kadhia hii wanapoanza ujenzi! Je! Ni mamlaka hipi iliyokasimiwa kutoa kibali cha ujenzi? Ikizingatiwa ni ujenzi wa nyumba za kawaida "bungalows" na wala sio gorofa! Kwenye katazo hili chini yake wanaandika "finally ofisini". Kama ni serikali za mitaa au wilayani au mkoani?
Njoo mtujuze!
Hivi mjini unaweza kujenga bila kibali? Hata iwe kwenye viunga lazima uwe na kibali. Huyo aliyekupa barua ni nani? Hukumuuliza?
 
Wajanvi! Kwa wanaojenga maeneo mapya nje ya viunga vya jiji la Dar na Kibaha wanakumbana na kadhia hii wanapoanza ujenzi! Je! Ni mamlaka hipi iliyokasimiwa kutoa kibali cha ujenzi? Ikizingatiwa ni ujenzi wa nyumba za kawaida "bungalows" na wala sio gorofa! Kwenye katazo hili chini yake wanaandika "fika ofisini". Je! ni ofisi za serikali za mitaa au wilayani au mkoani?
Njoo mtujuze!
Hao jipange nyumba ujenge one week iishe ibaki finishing hawaibomoi
 
Wajanvi! Kwa wanaojenga maeneo mapya nje ya viunga vya jiji la Dar na Kibaha wanakumbana na kadhia hii wanapoanza ujenzi! Je! Ni mamlaka hipi iliyokasimiwa kutoa kibali cha ujenzi? Ikizingatiwa ni ujenzi wa nyumba za kawaida "bungalows" na wala sio gorofa! Kwenye katazo hili chini yake wanaandika "fika ofisini". Je! ni ofisi za serikali za mitaa au wilayani au mkoani?
Njoo mtujuze!
Manispaa husika za unapotaka kujenga ndio wanatoa vibali. Haitakiwi kuanza kujenga hadi wafike. Wajiridhishe na ujengaji wako kuwa haitakwaza mipango miji. Hata kama kiwanja ni skwata lazima wafike wakuelekeze jinsi ya kuijenga hiyo nyumba ili irandane vyema na mpangilio, sio watu wajenge tu kama zamani
 
Wajanvi! Kwa wanaojenga maeneo mapya nje ya viunga vya jiji la Dar na Kibaha wanakumbana na kadhia hii wanapoanza ujenzi!

Je, Ni mamlaka hipi iliyokasimiwa kutoa kibali cha ujenzi?

Ikizingatiwa ni ujenzi wa nyumba za kawaida "bungalows" na wala sio gorofa! Kwenye katazo hili chini yake wanaandika "fika ofisini".

Je! ni ofisi za serikali za mitaa au wilayani au mkoani?

Njoo mtujuze!

Hivi hata utaratibu wa kujenga mijini hujui?
 
Nenda ofisi za mkuu wa wilaya yako, kuna form na maelekezo yoote utapata hapo mzee.
Ni bure au malipo? Maana umejichanga kupata kiwanja na kuanza ujenzi alafu zinajitokeza mamlaka zianze kula hela yako kabla ya kuanza kujenga? Wanataka wananchi waendelee kupanga au? Mimi nadhani liwe ni kujirithisha kuwa ujenzi umefanyika sehemu salama tu na sio kuanza kudai malipo!
 
Hivi mjini unaweza kujenga bila kibali? Hata iwe kwenye viunga lazima uwe na kibali. Huyo aliyekupa barua ni nani? Hukumuuliza?
Namshukuru Mungu nilibahatika kujenga miaka mingi iliyopita na hilo jambo halikushupaliwa kama ilivyosasa! Naona kama ni deal la kupiga hela
 
Manispaa husika za unapotaka kujenga ndio wanatoa vibali. Haitakiwi kuanza kujenga hadi wafike. Wajiridhishe na ujengaji wako kuwa haitakwaza mipango miji. Hata kama kiwanja ni skwata lazima wafike wakuelekeze jinsi ya kuijenga hiyo nyumba ili irandane vyema na mpangilio, sio watu wajenge tu kama zamani
Unaona? Kiwanja ninunue mwenyewe na nijiridhishe kwenye ramani ya mipango miji kuwa ni sehemu salama ya makazi, alafu niwapelekee hela ya kula manispaa? Hapana kwa kweli!
 
Back
Top Bottom