Stoo makazi fursa mpya ambayo inaweza kuzidi nyumba za upangaji

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Feb 1, 2023
4,267
10,272
Stoo makazi imekuwa ikutumika sana nchi zilizoendelea hususani zile nchi ambazo watu wake ambao hawataki kuhama na mali zao ili kulinda usalama mali zao zikiwa salama.

Stoo makazi maranyingi zina unafuu wa usalama ukilinganisha na kunpanga nyumba alafu ukaondoka bila kuwa na muangalizi.

Stoo makazi zimegawanyika kulingana na maitaji ya matumizi yako.zipo ambazo unaweza kuweka mpaka gari yako ukaifungia ndani.

Stoo makazi inasaidia sana kwa wasafiri ambao wamepata kazi mbali ili kulinda mali zao mda mrefu bila wasiwasi.



Tanzania bado kuna fursa nyingi ambazo wengi tujaweza kuzifahamu kuliko shindana na mafremu au majumba.

Faida ya stoo makazi usaidia sana kwa wasafiri na mali zao.Stoo makazi usaidia kufanya nyumba za kupanga kuwa za mwezi ili uweze kufanya maamuzi kama umepata dharura.

Watanzania fursa kwenu sasa


uzuri wa stoo makazi ujenzi wake uwezi kulinganisha na ujenzi wa nyumba kilichopo tu usalama wa mali na majanga ambayo kama moto kukabiliana nayo.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…