Hata hivyo hayapo barabarani, Kwani kuna barabara TanzaniaAsilimia 95 ya magari hapa Tanzania HAYAFAI KUWA BARABARANI . . .
Wanajamii,
Kuna jamaa kaja ofisini asubuhi hii kuorodhesha watu wanaohitaji stika za usalama barabarani. Ukihitaji unaandikisha jina lako na kumpatia Tshs. 5000/ = then yeye anakuletea.
Nijuavyo mimi stika ya usalama barabarani inatakiwa itolewe baada ya gari lako kukaguliwa na kuonekana lipo salama kuendelea luwepo barabarani. Lakini kama hali ni hii ya kuuziana stika bila ukaguzi ya vyombo vyetu vya usafiri, Je, tuna nia ya dhati kweli kuepusha ajali?
Hata hivyo hayapo barabarani, Kwani kuna barabara Tanzania
Magari ya watu wa maofisini siyo mabovu ndiyo maana hayaitajiki kukaguliwa, yanafanyiwa service kwa wakati na mengi hayana hata miaka mitatu. Magari ya kukaguliwa yako masokoni kule na daladala mnazopanda
Mi mwenyewe na shida na sticker kwa sababu sikuwepo wiki ya usalama barabarani. Msaada