Nahitaji kujua kazi ya stika za nenda kwa usalama barabarani na matumizi ya fedha zitokanazo na uuzwaji wa stika

cacacuona

JF-Expert Member
Feb 24, 2017
655
775
Naomba kuelekezwa kazi ya zile stika za nenda kwa usalama. Kazi yake nini?

Kwanini zinauzwa na kazi ya pesa zinazokusanya ni IPI? Hizo pesa zinasimamiwa na wizara au idara IPI? Maana tumeambiwa stika za magar ni 5000, na Pikipik 1000.

Naomba kuwasilisha
 
Vitu vya bure vinakuwaga kipindi cha kampeni za uchaguzi tu... After that nothing is for free...

Huoni hata taka zako mwenyewe lakini unazilipia kwenda kutupiwa...

Kingine ni kuongeza mapato na kurudisha gharama za uchapishaji wa hizo sticker...

Cc: mahondaw
 
Vitu vya bure vinakuwagabkipindi cha kampeni za uchaguzi tu... After that nothing is for free...

Huoni hata taka zako mwenyewe lakini unazilipia kwenda kutupiwa...

Kingine ni kuongeza mapato na kurudisha gharama za uchapishaji wa hizo sticker...

Cc: mahondaw
Asante ila swali la msingi zina kazi gani?
 
Ukiwa na ile sticker maana yake gari yako imekaguliwa kwa mujibu wa taratibu na sheria na imekidhi vigezo vyote kutumika kama chombo cha usafiri...

Cc: mahondaw
Asante kwahiyo huwa inatolewa baada ya ukaguzi or before.na kama before maana yake nini au tunanunua usalama wa kisheria lakin usalama wa kimazingira ukiwa hovyo?
 
Naomba kuelekezwa kazi ya zile stika za nenda kwa usalama. Kazi yake nini?

Kwanini zinauzwa na kazi ya pesa zinazokusanya ni IPI? Hizo pesa zinasimamiwa na wizara au idara IPI? Maana tumeambiwa stika za magar ni 5000, na Pikipik 1000.

Naomba kuwasilisha
Kutaka kujua kazi ya stika ni swali muafaka kabisa, lakini kuuliza pesa zinazokusanywa na kuingia kwenye mfuko mkuu wa serikali(naamini hela za stika za usalama barabarani zinaenda huko) kua zinakazi gani au zinafanyia nini jibu lake ni jepesi sana mkuu
 
Back
Top Bottom