Stika za usalama barabarani, bado zinatumika au la?

Stika za usalama barabarani, bado zinatumika au la?

drilling

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2016
Posts
4,901
Reaction score
5,079
Naomba kuuliza kwa wanaojua hizi stika za usalama barabarani, bado zinatumika au ziliisha ondelewa na Waziri wa mambo ya ndani Lugola.

Maana naona traffic wakiziuza na baadhi ya watu wanasema ziliondolewa naomba wahusika mnifahamishe
 
Lugola alizifuta,lakin zinaendelea maana ziliwekwa kwa utaratibu maalum kuhusu ukaguzi wa magari. Sio unanunua tu na kuiweka.

Lazima gar likaguliwe kwanza. Asa jamaa yenu alifuta tu bila kuweka mbadala,unaweza mpigia simu lakini.
 
Juzi nilipigwa faini 30000 kisa sina stika nikauliza niipate wapi sikupata jibu
naomba kuuliza kwa wanaojua hizi stica za usalama barabarani je bado zinatumika au ziliisha ondelewa na waziri wa mambo ya ndani mh lugola. maana naona traffic wakiziuza na baadhi ya watu wanasema ziliondolewa naomba wahusika mnifahamishe-
 
Lugola alizifuta,lakin zinaendelea maana ziliwekwa kwa utaratibu maalum kuhusu ukaguzi wa magari. Sio unanunua tu na kuiweka.

Lazima gar likaguliwe kwanza. Asa jamaa yenu alifuta tu bila kuweka mbadala,unaweza mpigia simu lakini.
Gari yako ilikaguliwa ndo ukapewa hio stick.?
 
Hii sticker ni ya kuzuia ajali barabarani?!

Au kwanini wanaiita usalama barabarani?!
Ukaguzi wa chombo chako kama kinafaa kwa matumizi ya barabarani ili kulinda usalama wako na wengine pamoja na mali zao.
 
Kwahiyo alipofuta means utatambuaje gari imekaguliwa au la?
_________________________________
IG: marble_na_granite
 
Ukitaka gari ikaguliwe utashinda traffic siku nzima au utapigwa tarehe ya kurudi ili gari ikaguliwe.

Kama hutaki kupoteza muda unanunua sticker kwa Sh. 5, 000 badala ya Sh. 3,000 ambazo utalipa gari ikikaguliwa.

Ndivyo ninavyofanya mkuu,buku 5 yangu chap chap napewa hio sticker,ila kuna mdau hapo chini anasema ye alikaguliwa mpk akapewa na certificate iliyosainiwa na Vehicle inspector.

Ndiyo,nimepewa na inspection certificate ilisainiwa na vehicle insp.
 
Stika zinatumika kwenye magari ha biashara tu
Kwa mfano Taxi.fuso tipper gari za abiria trucks na zingine
Lkn sio kwa gari private
 
Hii sticker ni ya kuzuia ajali barabarani?!

Au kwanini wanaiita usalama barabarani?!
Hii stika ni sawa na hirizi inayofungwa kwenye mkono wa kushoto karibu ya bega, ukiiweka wabaya wako wa barabarani hawakuoni.
 
Aisee subiri ukutane nao road halafu uwaambue hicho kitu ulichoandika hapa.

Nakwambia watakujibu huku wanabofya bofya machine yao'Tsh 30,000' ikinukia kwa ukaribu zaidi.
Stika zinatumika kwenye magari ha biashara tu
Kwa mfano Taxi.fudo tipper gari za abiria trucks na zingine
Lkn sio kwa gari private
 
Poleni sana cha msingi toa tu buku 5 upate stika ukate mzizi wa fitina.
 
Back
Top Bottom