nyembeason
Member
- May 4, 2009
- 44
- 21
Wadau,
Naamini hakuna mtu anayepeleka GARI LAKE POLISI ili likaguliwe na kupewa STIKA YA USALAMA barabarani. Sidhani. LENGO ni serikali ipate fedha za kuendeshia nchi. Kwa kawaida, STIKA HIZI huchelewa kuja au kwa makusudi zinafichwa (naamini ili tupigwe faini na kutengeneza mazingira ya rushwa, askari-trafiki wapate 5,000-10,000/= za kiwi). Hata zikija-watu hununua tu …hakuna sehemu MAGARI HUKAGULIWA.
Kwa sasa, zinauzwa kwa DILI, kati ya 10,000-5,000/= au wakupige faini ya 30,000/=
Kwanini tusilipe huu uchafu moja kwa moja TRA wakati wa kulipa road licence na fire?...Hii itaondoa usumbufu na mazingira ya rushwa wanayotengeneza askari-trafiki.
RUSHWA, RUSHWA TUUU…HIZI DILI ZITAISHA LINI?