Stika ya usalama barabarani ipo na haijawahi kufutwa, puuzieni uvumi wa kisiasa

dmkali

JF-Expert Member
Nov 17, 2014
11,294
21,413
Vyombo cha moto hususani magari yote lazima yakaguliwe na Vehicle kwa mjibu wa sheria.

Kwahiyo, ili kutambua vyombo vipivyokaguliwa, ni lazima stika hiyo kubandikwa mbele ya kioo cha gai husika.

Puuzieni uvumi wa kisiasa kwamba stika hii ilifutwa!

Ukikamatwa unawajibika kulipa faini!
 
Mkuu dmkali,

Hizo stika ni Ulaji kwa Askari wa Usalama Barabarani.

1. Ukienda kwa Vehicle anakuambia zimeisha ilihali Barabarani tutakamatwa

2. Mara nyingi hawakagui gari ila wanataka kutuuzia kwa bei kubwa tukikamatwa Barabarani.

hii siyo sababu ya kukufanya useme zimefutwa
 
Vyombo cha moto hususani magari yote lazima yakaguliwe na Vehicle kwa mjibu wa sheria.

Kwahiyo, ili kutambua vyombo vipivyokaguliwa, ni lazima stika hiyo kubandikwa mbele ya kioo cha gai husika.

Puuzieni uvumi wa kisiasa kwamba stika hii ilifutwa!

Ukikamatwa unawajibika kulipa faini!
Mkuu taja kifungu cha sheria kinachosema lazima stika ibandikwe maana kwenye Road Traffic Act yote haipo na nilishawahi muuliza traffic mmoja kwamba nitajie kifungu cha sheria kinachohusu hilo jambo au Government Notice ipi inayotaja takwa hilo la kisheria...huyo traffic alishindwa kunitajia sheria husika na kifungu husika cha swala hilo
 
sijakuelewa inamaana unazan haipo
 
sijakuelewa inamaana unazan haipo
Haipo kisheria kama umewahi kupigwa cheti cha kutokua na stika angalia pale walipoainisha kosa hilo lipo chini ya kifungu gani halafu itafute hio Road Traffic Act uone inasomeka vipi eneo husika mkuu
 
Mkuu dmkali,

Hizo stika ni Ulaji kwa Askari wa Usalama Barabarani.

1. Ukienda kwa Vehicle anakuambia zimeisha ilihali Barabarani tutakamatwa

2. Mara nyingi hawakagui gari ila wanataka kutuuzia kwa bei kubwa tukikamatwa Barabarani.
UPO SAWA! ANAEBISHA ANYOOSHE KIDOLE
 
Kwa hiyo Mhe,,,Lugola alivyoiondoa hiyo,,stika na siku ya usalama barabarani,,,unataka kusema ametuongopea?
Vyombo cha moto hususani magari yote lazima yakaguliwe na Vehicle kwa mjibu wa sheria.

Kwahiyo, ili kutambua vyombo vipivyokaguliwa, ni lazima stika hiyo kubandikwa mbele ya kioo cha gai husika.

Puuzieni uvumi wa kisiasa kwamba stika hii ilifutwa!

Ukikamatwa unawajibika kulipa faini!
 
Mkuu dmkali,

Hizo stika ni Ulaji kwa Askari wa Usalama Barabarani.

1. Ukienda kwa Vehicle anakuambia zimeisha ilihali Barabarani tutakamatwa

2. Mara nyingi hawakagui gari ila wanataka kutuuzia kwa bei kubwa tukikamatwa Barabarani.
Unasimamishwa na askari, anasema huna stika ya usalama barabarani, nakuandikia faini elfu thelathini

Unamjibu, huna stika hiyo kwa sababu ofisi ya trafiki mahali ulipo hawana hizo stika wanasema zimeisha, anakujibu kwa nini hukununua wakati zilipokuwepo? Mbona stika ya bima unayo? Anakulima elfu thelathini

Unamwambia basi, sawa umeniandikia faini, naomba uniuzie hiyo stika ili nisikamatwe tena mbele ya safari, anakujibu kuwa STIKA ZIMEISHA.
😀😀😀
 
Haipo kisheria kama umewahi kupigwa cheti cha kutokua na stika angalia pale walipoainisha kosa hilo lipo chini ya kifungu gani halafu itafute hio Road Traffic Act uone inasomeka vipi eneo husika mkuu
Ukihoji uhalali wa hiyo stika, wanakuonesha meseji ya whatsapp kuwa wameagizwa kukamata gari lolote ambalo halina stika ya nenda kwa usalama. Na wanasema kama unaona unaonewa muulize IGP.

Dah, mwezi wa kumi nilikamatwa na askari pale mafinga mitaa ya Kawawa karibu na Changarawe, hawaelewi kitu na wanajimwambafai kwelikweli. Niliishia kubetishwa elfu 30 aisee kwa kutokuwa na hiyo STIKA
 
Vyombo cha moto hususani magari yote lazima yakaguliwe na Vehicle kwa mjibu wa sheria.

Kwahiyo, ili kutambua vyombo vipivyokaguliwa, ni lazima stika hiyo kubandikwa mbele ya kioo cha gai husika.

Puuzieni uvumi wa kisiasa kwamba stika hii ilifutwa!

Ukikamatwa unawajibika kulipa faini!
Stika ni Wizi kama wizi mwingine.
 
Back
Top Bottom