Stickers za zimamoto-wizi mtupu!

Stickers za zimamoto-wizi mtupu!

Madikizela

JF-Expert Member
Joined
Jul 4, 2009
Posts
683
Reaction score
456
Hivi karibuni idara ya zimamoto imeanza kutoza/kuuza sticker za zimamoto kwa viwango mbali mbali kulingana na ukubwa wa gari. Bei ya chini ya sticker ni 5000/= kwa gari ndogo[saloon] na kuendelea.

Hivi sisi wadanganyika hatuoni kwamba hii ni daylight robbery?!

Ni mpaka lini tutabaki kuwa wajinga kiasi hicho?

Nawaaminia GREAT THINKERS - hebu tujadili suluhisho la uonevu kama huu!!!:A S-danger:
 
Kaka ni kutoichagua serikali iliyopita ya Kikwwete maana tunaibiwa vya kutosha jamani
 
Back
Top Bottom