Uchaguzi 2020 Steve Nyerere achukua fomu ya Ubunge Iringa Mjini - CCM

Sugu na Prof Jay ni wa kulaumu sana, yaani walivyopenya tu wakaingia mjengoni na kufanya siasa zao za kihuni basi bongo fleva na bongo movies zote zimeelekeza macho masikio na pua zao bungeni!!

it was a big mistake tume ya uchaguzi kuwapa viti!! sasa wahuni wote nao eti wanalitaka bunge kwakuwa kigezo chake ni kujua kusoma na kuandika tu,

what a backward country!!
Wewe ni zombie
 
Wewe ni zwazwa
 
Ni haki yake,hakuna shaka kabisa kwa hilo.Lakini Ndugu zanguni tuwe SERIOUS,ubunge siyo kwa every Tom, Dick and Harry na nikisema we need some people nadhani mutanielewa
CCM yangu naomba ifanye ubaguzi kupata the right people
 
hii nchi sasa tutaanza kuchagua watu based on fame badala ya akili
 
Huu sasa ni utani, yaani sheria mpya kheri itungwe na sifa za kufaa za mbunge ziwekwe wazi kama kiongozi wa wananchi, kuna siku firauni atapewa ubunge
 
Sasa ni zamu ya Steve Nyerere,atafuata Muheshimiwa Kingwendu halafu Muheshimiwa Baba Levo ajiandae
 
Ndiyo maana
Hongera Steve kwa uthubutu. Ni haki yako.
Mwenyekiti wao alipata tabu sana kupata Balaza la mawaziri ikabidi awateue kutoka viti maalumu,na kununua wapinzani ili apate mawaziri wenye akili,sasa hapo haijulikani kasimama au kachuchumaa.
 
Hiyo ni tatizo la ccm kuushushia heshima ubunge baada ya kuondoa kigezo cha elimu.

Baada ya kuruhusu kigezo cha kugombea ubunge kuwa ni kujua kusoma na kuandika basi heshima ya ubunge imeshuka
Ubunge inaonekana ni kazi ya ajabu hata vichaa wanaweza
 
Hata sijui hiyo ela ya kuombea hiyo form kamchangia nani maana kwa wiki hii sijasikia kama kuna msiba
Huyu kashindwa kuweka jino kwenye hilo pengo ataweza kuwa pelekea maendeleo wana Iringa kweli?
 
Body language yake tayari kafail. Halafu huyo wolper hayo manywele Kama kondoo wa nchi barafu Kule😂😂😂
 
Back
Top Bottom