GE2025 Stephen Wasira: Itakuwa jambo la busara kama CHADEMA watashiriki uchaguzi, tunasikitika wana matatizo mengi

Matukio, Taarifa, Habari na Mijadala ya Wananchi WAKATI wa Mchakato wa Uchaguzi Mkuu 2025

Just Pray

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
2,142
Reaction score
4,777
Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Stephen Wasira amesema Itakua jambo la busara kama CHADEMA watashiriki uchaguzi mkuu.

Aidha Wasira amesema walikutana na chama hicho chini ya mwamvuli wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) chini mwenyekiti wake Tundu Lissu ili kujadili tofauti zilizopo kati ya vyama hivyo ambapo makatibu wa vyama hivyo walichambua masuala ya katiba, sheria za uchaguzi na masuala ya kawaida kama utawala.

Aidha ameongeza kuwa hakuna sheria inayotungwa dunia ikakubaliwa na watu wote akisema mpaka ikianza kutekelezwa na kuona mapungufu kisha kufanyiwa marekebisho.

Amesema hayo kwenye kipindi maalum cha mizani cha TBC tarehe 30 Julai 2025.

View attachment 3425948
stupid , wana matatizo gani? weka uwanja sawa muone kazi kama mtatoboa....
 
Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Stephen Wasira amesema Itakua jambo la busara kama CHADEMA watashiriki uchaguzi mkuu.

Aidha Wasira amesema walikutana na chama hicho chini ya mwamvuli wa Kituo cha Demokrasia Tanzania (TCD) chini mwenyekiti wake Tundu Lissu ili kujadili tofauti zilizopo kati ya vyama hivyo ambapo makatibu wa vyama hivyo walichambua masuala ya katiba, sheria za uchaguzi na masuala ya kawaida kama utawala.

Aidha ameongeza kuwa hakuna sheria inayotungwa dunia ikakubaliwa na watu wote akisema mpaka ikianza kutekelezwa na kuona mapungufu kisha kufanyiwa marekebisho.

Amesema hayo kwenye kipindi maalum cha mizani cha TBC tarehe 30 Julai 2025.

View attachment 3425948
Zeee zima hovyooo
 
Agenda fiche ya kuudanganya ulimwengu kwamba nchi Ina demokrasia na utulivu inaonesha kufeli pakubwa.Wamechelewa na kujitia najisi kuanzia miili hadi nafsini mwao.Kuwatumia watu walewale kwa mbinu zilezile mbovu na zinazowaumiza wakinzani zimekataliwa na Mungu.
 
CHADEMA haijakataa kushirik uchaguz....huyo mzee aache uzwazwa.
Mizani iwe sawa....kiputwe kipulizwe....mnaitaman Chadema ila hamtaki mizani sawa...wapuuzi
 
Chadema haina tatzo lolote kuhusu uchaguzi....maccm ndo wana matatzo...hii nchi ...ni ya watz....sio ya ccm
 
Back
Top Bottom