Stephen Masele: Spika Ndugai anatumika, sina kosa lolote

Stephen Masele akiwa anahojiwa leo na DW amesema yeye hana kosa lolote lile wala hajagonganisha mihimili yoyote.

Anasema kilichopo ni kuwa kuna Rais wa Bunge la Afrika ambaye ana kashfa ya ngono na yupo kwenye uchunguzi wa kashfa ya ngono, na yeye kama Makamu wa Rais wa Bunge anatakiwa achukue nafasi ya Rais huyu sababu amesimamishwa.

Sasa Rais huyu anamtumia Spika Ndugai ili kumzuia Masele asichukue nafasi yake wakati akiwa kwenye uchunguzi.

Msikilize zaidi hapa

Wabunge mizigo ambao hawatakiwi tena kurudi bungeni
1. Job ndugai,
2. Harisson mwakyembe,
3. Kangi lugola
4. Lusinde
5. .......
6.........
Job ndugai ni zigo ambalo lipolipo tu na halijielewi kabisa, linadhihirisha ni jinsi gani lilivyo zigo na dhaifu,

Vivyo hivyo kangi lugola anaishia kutoa matamko pumba tupu,
 
Sikuwahi kujua Tanzania Kuna vijana shupavu Kama masele .wakiwa ndani ya chama Ni ngumu kuwabaina maana wamewekewa jiwe kichwani hawanyanyuki
 
Stephen Masele akiwa anahojiwa leo na DW amesema yeye hana kosa lolote lile wala hajagonganisha mihimili yoyote.

Anasema kilichopo ni kuwa kuna Rais wa Bunge la Afrika ambaye ana kashfa ya ngono na yupo kwenye uchunguzi wa kashfa ya ngono, na yeye kama Makamu wa Rais wa Bunge anatakiwa achukue nafasi ya Rais huyu sababu amesimamishwa.

Sasa Rais huyu anamtumia Spika Ndugai ili kumzuia Masele asichukue nafasi yake wakati akiwa kwenye uchunguzi.

Msikilize zaidi hapa

Wabunge mizigo ambao hawatakiwi tena kurudi bungeni
1. Job ndugai,
2. Harisson mwakyembe,
3. Kangi lugola
4. Lusinde
5. .......
6.........
Job ndugai ni zigo ambalo lipolipo tu na halijielewi kabisa, linadhihirisha ni jinsi gani lilivyo zigo na dhaifu,

Vivyo hivyo kangi lugola anaishia kutoa matamko pumba tupu,
 
Masele kutoka Tanzania,huyo Rais wa bunge la Africa sio wa kutoka Tanzania.
Ndugai anatumika na mtu ambaye si kutoka Tanzania..
Hii kauli ya mh masele inaitaji kufikili sana
 
Mambo ya bunge la Afrika yanamhusu nini Ndugai wakati hili analoliongoza tu limemshinda. Hata hilo bunge la Afrika mimi sioni faida yake ni kuharibu rasilimali za nchi bure tu.
Mkuu unaelewa nani anagharamia bunge la Afrika?
 
ningependa kufahamu spika alikuwa akiumwa ugonjwa gani maana twaweza kuwa twalaumu kumbe maradhi yalishapanda mpk kichwani yakamuathiri ubongo finyu alikuwaga nao!
ArleN ungependa kufahamu ugonjwa wa Spika aliyekwambia anaumwa ni nani, kila mtu anaweza akaumwa hata wewe pia sio jiwe linalodumu daima unaweza ukaumwa ukafa vilevile, kuumwa ni sehemu ya maisha acheni kashfa za kipumbavu dhidi ya viongozi wetu wa kitaifa, hamna kitu cha maana mnachoongea hapa ni upumbavu mtupu.
 
Stephen Masele akiwa anahojiwa leo na DW amesema yeye hana kosa lolote lile wala hajagonganisha mihimili yoyote.

Anasema kilichopo ni kuwa kuna Rais wa Bunge la Afrika ambaye ana kashfa ya ngono na yupo kwenye uchunguzi wa kashfa ya ngono, na yeye kama Makamu wa Rais wa Bunge anatakiwa achukue nafasi ya Rais huyu sababu amesimamishwa.

Sasa Rais huyu anamtumia Spika Ndugai ili kumzuia Masele asichukue nafasi yake wakati akiwa kwenye uchunguzi.

Msikilize zaidi hapa

Dah! Ngoja Tusubir Mwisho Wa Hili Picha Litaishia Wapi!
 
Stephen Masele akiwa anahojiwa leo na DW amesema yeye hana kosa lolote lile wala hajagonganisha mihimili yoyote.

Anasema kilichopo ni kuwa kuna Rais wa Bunge la Afrika ambaye ana kashfa ya ngono na yupo kwenye uchunguzi wa kashfa ya ngono, na yeye kama Makamu wa Rais wa Bunge anatakiwa achukue nafasi ya Rais huyu sababu amesimamishwa.

Sasa Rais huyu anamtumia Spika Ndugai ili kumzuia Masele asichukue nafasi yake wakati akiwa kwenye uchunguzi.

Msikilize zaidi hapa

Ayubu anaogopa Masele kuwa na Exposure kuongoza Bunge la Africa
Anaona kabisa 2020 Masele anaeza kuchukua kito cha u Speaker
 
we baki hivyo hivyo unashangaa mwenzako utaskia anapanda rank kuwa baloz. hapo ndo utaamin kwamba chichiemu ni kama maggot kwenye choo.
Hivi mnajua kilichotokea huko bunge la Africa Mashariki, huyo mbunge anayeitwa arudi atoe taarifa kuhusiana na yaliyotokea bungeni kwake, kwa nini hamzungumzii tatizo la mbunge huyo. Acheni Uchadomo jamani, Spika hayupo kutekeleza matakwa yenu ili kuwafurahisha ninyi washabiki wa siasa maandazi. Jifanyeni mna akili sio wajinga kihivyo.
 
Back
Top Bottom