Stephen Masele: Spika Ndugai anatumika, sina kosa lolote

Well said Maselle. Waafrika bado tuna ile tabia ya unyanyasaji kingono hivyo huyu kijana amefanya vizuri ku highlight hili. Ndungai anapingana na Waziri mkuu hapo. Ngoja tuone mwisho wake.
Mwafaka mwafaka mwafaka!!! Masele aendelee na majukumu yake EALC bila vikwazo ni hazina hiyo!!
 
ndu gai ni mkurupakaji...kiongozi smart anapaswa kutafakar & kujiridhisha pasi na shaka kabla ya kufikia maamuzi yoyote yale, ona sasa hapa anathibitisha UDHAIFU wake.
Wakati ukitafakari jumba bovu linakuangukia,acheni wabongo zipo njia nyingi kukabiliana na tatizo na hiyo aliyopitia Mh. Speaker ikawa ni mojawapo, acheni chuki zenu.
 
Mkuu, bunge aliko Masele ni Pan African Parliament (PAP). Hiyo EALC ni kitu gani???
Hivi huyo gunga yenna wa kuokotaokota kwenye dampo unadhani ana akili? Nina hakika kwa asilimia 100% kwamba hajui ni chombo gani kinaongelewa hapa. Huu ukoo wa washamba na malimbukeni utatupa shida kweli kweli...anyway, it is all in the Genealogy; tumewapa rungu vichaa, je tutasalimika? Eti anadai Ndugai ana uvumilivu, kichaa na uvumilivu wapi na wapi!
 
Hivi unapotukana wewe ni nani hapa JF, Kuna watu mu wajingawajinga mnajifanya vinyapara vya ku moderate watu kila kukicha, kuna njia za kistarabu za kumchallenge mtu lakini si kwa njia za kishenzi kama mnazotumia matusi, JF ni uwanja mpana ambao watu huelimishana na si kudhalilishana Kama akina Mag3 wanavyofanya,starabika kaka.
 
Back
Top Bottom