Stephen Masele: Spika Ndugai anatumika, sina kosa lolote

Johnny Sack

JF-Expert Member
Jan 21, 2017
8,833
18,828
Stephen Masele akiwa anahojiwa leo na DW amesema yeye hana kosa lolote lile wala hajagonganisha mihimili yoyote.

Anasema kilichopo ni kuwa kuna Rais wa Bunge la Afrika ambaye ana kashfa ya ngono na yupo kwenye uchunguzi wa kashfa ya ngono, na yeye kama Makamu wa Rais wa Bunge anatakiwa achukue nafasi ya Rais huyu sababu amesimamishwa.

Sasa Rais huyu anamtumia Spika Ndugai ili kumzuia Masele asichukue nafasi yake wakati akiwa kwenye uchunguzi.

Msikilize zaidi hapa

Sina uhakika na ichi anachoongea masele cha pombe ila kama kina ukweli basi hii ni aibu kubwa kwa taifa!!
 
Back
Top Bottom