duh hiyo ya sms ni kali ya wik, mama spika alisemaje alipoona ishu ambazo ni personal tena kwa mtu ambaye sio mbunge kuzumziwa bungeni! plz nipeni updates plz
Mtani wangu Mwita........Nijuavyo mimi Josephine ni mwanasiasa hasa,tena wa jukwaani,mara nyingi wakati wa kampeni alikuwa akihutubia kwenye majukwaa na hata wakati wa maandamano ya Arusha ni mmojawapo wa walioshiriki na kupigwa na polisi na baadaye kukamatwa na mpaka sasa ni mmojawapo wa washtakiwa wa ile kesi iliyopo mahakamani......Na hata huko kijijini kwa Manyanya alienda kisiasa,wakati wa ziara ya operesheni Sangara......................Kuhusu speculation....nadhani hukunielewa vizuri mkuu wangu,soma posts za mwanzoni za thread hii utaona nini namaanisha,kuna watu wamedai kwamba Josephine na Stella wanamgombea Wilbroad Slaa,PHD kimapenzi(sasa sio speculations hizi)?......Wengine wanadai Stella alitaka mahusiano na Dk.Slaa Josephine akastuka..........Angalia pos za mwanzo utaona..........Otherwise,cheers.Jukwaa gani tena wakati unajua josephine si mwanasiasa wa majukwaani? afterall njia aliyoitumia kumfikishia ujumbe ni muafaka kabisa, mwenye matatizo ni manyanya alkiyeamua kulipuka, tena bungeni ambapo anajua kwamba josephine hayupo na hawezi kumjibu.Punguza speculation mkuu, "conflict of interest" ipi tena wakati josephine alikuwa amefika kijijini kwao na kukuta hali ngumu ya maisha ya wanakijiji ndo akaona bora amkumbushe manyanya kuwawakilisha vizuri wanakijiji wenzake badala ya kuwa vuvuzela!!??
.........bala is always here!!Mtani wangu Mwita........Nijuavyo mimi Josephine ni mwanasiasa hasa,tena wa jukwaani,mara nyingi wakati wa kampeni alikuwa akihutubia kwenye majukwaa na hata wakati wa maandamano ya Arusha ni mmojawapo wa walioshiriki na kupigwa na polisi na baadaye kukamatwa na mpaka sasa ni mmojawapo wa washtakiwa wa ile kesi iliyopo mahakamani......Na hata huko kijijini kwa Manyanya alienda kisiasa,wakati wa ziara ya operesheni Sangara......................Kuhusu speculation....nadhani hukunielewa vizuri mkuu wangu,soma posts za mwanzoni za thread hii utaona nini namaanisha,kuna watu wamedai kwamba Josephine na Stella wanamgombea Wilbroad Slaa,PHD kimapenzi(sasa sio speculations hizi)?......Wengine wanadai Stella alitaka mahusiano na Dk.Slaa Josephine akastuka..........Angalia pos za mwanzo utaona..........Otherwise,cheers.
.Haijalishi wala haihalalishi Kama wewe si mstaarabu kuwa na mwengine awe si mstaarabu pia.
Kama alikuwa na nia njema angechagua maneno mazuri ya kumwambia, besides Manyanya ni mbunge Wa viti maalum na ni msaidizi tu wa jimbo
ni jambo la kwaida kabisa katika kusema ukweli kuwa huo ni unafiki maana hawakilishi ipasavyo wananchi wake.......hata mimi nilishawahi andika kwa jk tena nafuu ya hii josephine ..labda atanijibu kupitia hotuba ya mwisho wa mwezi ..
bado ni mwanamkeHuyu si injinia? sasa udigirii umekufa au vipi?
viongozi wa kibongo bongo hawapendi kuambiwa ukweli, wanataka kusifiwa tu hata kama wanafanya mambo ya kijinga, ndo maana na sisi wananchi tumekumbwa na dhoruba hiyo hiyo. Ukisema ukweli unaambiwa wewe si mstaaarabu, mara unatafuta umaarufu wa kisiasa na maneno mengine mengi kama hayo.
bado ni mwanamke
Sera ya Magwanda (CDM) ni kuwapa wananchi vitu vya bure, sasa siwezi kushangazwa na Slaa kusema hivyo kwani huyu jamaaa hapendi watu wafanye kazi anapenda awape watu vitu vya bure bure
Hivi Dkt Slaa anaweza kuwaambia wananchi wasifanye kazi kweli?,hawa wabunge wa ccm vipi!?hebu jaribuni kuwa makini maana ni ngumu sana kwa mtu mwenye akili timamu kuwanyima watu wasifanye kazi sasa watakula wapi!!?Stella Manyanya atema cheche Bungeni akimtuhumu Dr Slaa kwa kuwafundisha wananchi wasifanye kazi wakati yeye amewahamasisha wananchi wa kijiji chake (hakukitaja) wajitolee kufanya kazi za maendeleo, anasema ameudhiwa sana na kauli ya Dr Slaa kuwaambia wananchi wakisikia harufu ya chakula kizuri basi kinakuwa kimepikwa kwa mbunge. Pia amemuonya anayeitwa Mchumba wa Dr Slaa kwa kumuandikia SMS za kumtukana, anasema eti alifuatilia hizo SMS akakuta zimetoka kwa Josephine Emmanuel.Najiuliza hivi wabunge wa CCM hawana mambo ya kuchangia zaidi yakuingiza personalities?
Mtani wangu Mwita........Nijuavyo mimi Josephine ni mwanasiasa hasa,tena wa jukwaani,mara nyingi wakati wa kampeni alikuwa akihutubia kwenye majukwaa na hata wakati wa maandamano ya Arusha ni mmojawapo wa walioshiriki na kupigwa na polisi na baadaye kukamatwa na mpaka sasa ni mmojawapo wa washtakiwa wa ile kesi iliyopo mahakamani......Na hata huko kijijini kwa Manyanya alienda kisiasa,wakati wa ziara ya operesheni Sangara......................Kuhusu speculation....nadhani hukunielewa vizuri mkuu wangu,soma posts za mwanzoni za thread hii utaona nini namaanisha,kuna watu wamedai kwamba Josephine na Stella wanamgombea Wilbroad Slaa,PHD kimapenzi(sasa sio speculations hizi)?......Wengine wanadai Stella alitaka mahusiano na Dk.Slaa Josephine akastuka..........Angalia pos za mwanzo utaona..........Otherwise,cheers.
Kwa hiyo....?
Kama wanajuana its okay lakini sometimes kwenye hili Game la Siasa sio vema kuwapa wenzako makombora ambayo wanaweza kuyabadilisha au kuyatumia kwenye Propagandani jambo la kwaida kabisa katika kusema ukweli kuwa huo ni unafiki maana hawakilishi ipasavyo wananchi wake.......hata mimi nilishawahi andika kwa jk tena nafuu ya hii josephine ..labda atanijibu kupitia hotuba ya mwisho wa mwezi ..
anataka bwana huyu
Mkuu Balantanda nakubaliana nawe, lakini utakumbuka kwamba si kila mtu anayeandamana anakuwa ni mwanasiasa wa majukwaani, kwakuwa naamini kila binadamu ni mwanasiasa kwa nafasi yake kwakuwa siasa ndio maisha. Kwahiyom josephine kuandamana arusha hadi kupigwa sio hoja ya kujustfy uansiasa wake kwa mtazamo wa sms aliyomtumia manyanya. Na hata hivyo utakumbuka kwamba wakati wa kampeni alikuwa akitambulishwa kama mchumba wa Slaa na kupewa nafasi ya kusalimia, mi namuona kama ni mwanasiasa in the making.
Pamoja na yote bado sioni mantiki ya manyanya kwenda kumlalamikia josephine bungeni, kimsingin hapa alikuwa anamlenga Slaa kutokana na pressure anayowapa. Kwani alishindwa nini manyanya kumjibu kwa sms kama alivyoandikiwa?? nadhani kwa hili nitakopa msemo wao kwamba anatafuta umaarufu wa kisiasa!!
Haijalishi wala haihalalishi Kama wewe si mstaarabu kuwa na mwengine awe si mstaarabu pia.
Kama alikuwa na nia njema angechagua maneno mazuri ya kumwambia, besides Manyanya ni mbunge Wa viti maalum na ni msaidizi tu wa jimbo
Hahahaaa!Yani huo ndo mchango wake wa budget?Too cheap! Aibu!Watu wanakata nondo za issues za maendeleo na allocation ya resources.Yeye amesahau kama hapo ni bungeni na sio saluni!Simple minds talk about people and their personality while strong minds discuss issues and visualize the future Mwenye cv na academic competence ya huyu mama aijaze hapa
Gaijin acha ubishi, hata mimi ukunizingua nakuchana live, iwe kwa maneno, sms au mail maadam ujumbe wangu uupate kwa wakati ninaouona mimi sahihi. Sasa kama Mama aliona hali hovyo huko kijijini wakati huohuo 'injinia' anaongea utumbo bungeni angemkawiza?