GeniusBrain
JF-Expert Member
- Nov 3, 2010
- 4,315
- 309
Stella Manyanya atema cheche Bungeni akimtuhumu Dr Slaa kwa kuwafundisha wananchi wasifanye kazi wakati yeye amewahamasisha wananchi wa kijiji chake (hakukitaja) wajitolee kufanya kazi za maendeleo, anasema ameudhiwa sana na kauli ya Dr Slaa kuwaambia wananchi wakisikia harufu ya chakula kizuri basi kinakuwa kimepikwa kwa mbunge.
Pia amemuonya anayeitwa Mchumba wa Dr Slaa kwa kumuandikia SMS za kumtukana, anasema eti alifuatilia hizo SMS akakuta zimetoka kwa Josephine Emmanuel.
Najiuliza hivi wabunge wa CCM hawana mambo ya kuchangia zaidi yakuingiza personalities?
Hata mimi nimemshangaa, badala ya kupeleka ishu polisi analeta bungeni! ni kupoteza muda wa bunge kwa mambo personal na hata hivyo hana uhakika kama josephine emmanuel ndiye huyo 'mke' wa dr. slaa, amejudge kwa kufananisha jina.Stella Manyanya atema cheche Bungeni akimtuhumu Dr Slaa kwa kuwafundisha wananchi wasifanye kazi wakati yeye amewahamasisha wananchi wa kijiji chake (hakukitaja) wajitolee kufanya kazi za maendeleo, anasema ameudhiwa sana na kauli ya Dr Slaa kuwaambia wananchi wakisikia harufu ya chakula kizuri basi kinakuwa kimepikwa kwa mbunge. Pia amemuonya anayeitwa Mchumba wa Dr Slaa kwa kumuandikia SMS za kumtukana, anasema eti alifuatilia hizo SMS akakuta zimetoka kwa Josephine Emmanuel.Najiuliza hivi wabunge wa CCM hawana mambo ya kuchangia zaidi yakuingiza personalities?
genius brain === suffering from brain drainSera ya Magwanda (CDM) ni kuwapa wananchi vitu vya bure, sasa siwezi kushangazwa na Slaa kusema hivyo kwani huyu jamaaa hapendi watu wafanye kazi anapenda awape watu vitu vya bure bure
wewe nawe wa wapi?
kazi kwisha!!!
Thank you Josephine... sasa nimeamini kabisa kwamba upumbavu wa stella manyanya hauna ujazo!!!
Nadhani Josephine angeyaeleza haya(aliyomtumia sms) jukwaani ingekuwa bora zaidi badala ya kumtumia sms,unless kulikuwa na lingine zaidi.......................Fikiria MTM ni politishani na Bala naye ni politishani wa mlengo halafu Bala anamtumia sms MTM yenye maneno '....................,jirekebishe bana,unaidhalilisha fani yako'...........MTM(japo binadamu tunatofautiana) aanaweza kuipokea sms hii kicinge aisee,akadhani Bala anamfuatafuata ama ana ajenda ya sirihapana swahiba.... the approach she used was right kwani hakutaka yawe haya, ila kale ka manyanya kameyaleta kenyewe Ustaarab aliotumia josephine ndio mzuri hakutaka kulumbanaau unaonaje?? ulitaka aianzishe jf?
Hata Josephine ni memba humu, anaweza kujisemea.Stella got it wrong on Slaa kuhamasisha wananchi wasifanye kazi, sijawahi sikia huu upuuzi, lakini suala la sms naomba tusianze kurusha mawe, slaa is a member of JF, so he can as well clarify kuhusu sms kutoka kwa josephine...
Kwa nini usingemsema kwa kupitia jukwaa?...Nadhani ujumbe ungemfikia kwa urahisi zaidi......Btw......Kuna watu wameshaanza kutafsiri mengine hapa kwamba huenda kuna 'conflict of interest' kati yako na mhe. mbunge ndiyo maana wewe ukamtumia ujumbe.....
Hata Josephine ni memba humu, anaweza kujisemea.
Manyanya si mstaarabu na Josephine nae si mstaarabu vile vile.
Utamuandikiaje msg mtu na kutumia maneno Kama 'acha ushabiki na unafiki' ?
ni jambo la kwaida kabisa katika kusema ukweli kuwa huo ni unafiki maana hawakilishi ipasavyo wananchi wake.......hata mimi nilishawahi andika kwa jk tena nafuu ya hii josephine ..labda atanijibu kupitia hotuba ya mwisho wa mwezi ..
ntaachaje tena mama na ubishi jadi yangu aisee?Huachi na wewe Bwana
Waswahili wanasema msema pweke hakosi