Stella Manyanya amkaba koo Dr Slaa

Sioni kama kunalamaana hapo hayo mambo angeuza zaidi kwenye magazeti ya udaku sio bungeni, sioni kama kunachamaana hapo nchi hii ina matatizo kibao mambo ya uchumba sio yakutupotezea mda hapa JF katika kujadili. Manyanya alikuwa anauza sura atoke magazetini na kwenye TV kwani angeweza kuyazungumza nje ya bunge kuliko kuleta kwenye bunge upuuzi, vipi yeye anaumeme? akatiwi? hata kama anaposho na anauwezo wa kununua majenereta basi asipoteze mda mjengoni wananchi tunataka ufumbuzi wa matatizo yanayotukabili awakilishe vyenye maana.
 
Jamani tukianza kujadili nani kamtukana nani kwa sms sidhani kama tutafika..........miaka 50 ya uhuru hii,still debating on who insults who?

tumeasisiwa siasa za mipasho tangu campain za uchaguzi mkuu zianze mwaka jana. so ni muendelezo tu wa filamu
 
Ni kweli nimeamini, wanachama wote wa ccm hawana akili.
 
Ni kweli nilimtumia msg.nilimwambia hivi.

Apunguze ushabiki na unafiki anapokuwa anazungumzia hoja bungeni kwani hata katika kijiji chake watu ni masikini sana badala yake aongee uhalisia na si nadharia.Anadhalilisha fani yake.

Hii ni baada ya mimi kwenda kijijini kwake.

she can prove me wrong.
 

Wote huu tunasema ni ULWAA (Yaani kutetea ulaji). Kutumia jukwaa la bunge kumshabulia mtu ambaye hawezi kutumia jukwaa hilohilo kukujibu, unahitajika kuwa na ushahidi wote mezani. Vinginevyo mfuate majukwaani. CHADEMA wanapaswa kuwapatia ulinzi wa kutosha viongozi, ni dhahiri baadhi ya wana-CCM hawana uvumilivu wa kiasa na wanaweza kufanya lolote baya physically, kama mbinu za kishirikina wazitumiazo wakati wa kusaka uteuzi zitakuwa zimedunda mwamba.

Ushauri kwa chama cha mapinduzi (kilichokuwa kinajiita chama dume): This is distraction, na mjue kuwa kila mnapoishabulia CDM, au individual ndani ya CDM ni credit kwa CDM toka kwa wananchi kuwa, jamaa wanafanya kazi. Jadilini mambo ya manufaa kwa wananchi si mambo mipasho, baada ya magamba watu watawapachika jina la chama jike.
 
jose say something here
Mtani....Sidhani kama mama Josephine ana haja ya kusema lolote hapa......Cha msingi apuuze tu na thread ifungwe maana tunakoelekea ni kuanza kujadili mambo ambayo hayafai kujadiliwa hapa......Bala....
 
Mtani....Sidhani kama mama Josephine ana haja ya kusema lolote hapa......Cha msingi apuuze tu na thread ifungwe maana tunakoelekea ni kuanza kujadili mambo ambayo hayafai kujadiliwa hapa......Bala....
mtani sitaki mama aingie kwenye malumbano...ila nilichokua naomba ashakifanya..mama asante.tunaomba usijibu mtu mwingine tena..tushapata picha kamili.ubarikiwe
 

*eye roll
 
Kwa nini usingemsema kwa kupitia jukwaa?...Nadhani ujumbe ungemfikia kwa urahisi zaidi......Btw......Kuna watu wameshaanza kutafsiri mengine hapa kwamba huenda kuna 'conflict of interest' kati yako na mhe. mbunge ndiyo maana wewe ukamtumia ujumbe.....
 
kazi kwisha!!!

Thank you Josephine... sasa nimeamini kabisa kwamba upumbavu wa stella manyanya hauna ujazo!!!
 
hapana swahiba.... the approach she used was right kwani hakutaka yawe haya, ila kale ka manyanya kameyaleta kenyewe

Ustaarab aliotumia josephine ndio mzuri hakutaka kulumbana

au unaonaje?? ulitaka aianzishe jf?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…