VoiceOfReason
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,194
- 1,355
Kwa wale walioshapata wenzao... na kuoa wanajua uvumilivu ni moja ya nguzo za ndoa... lakini tunajua kabisa kizazi cha sasa sio wavumilivu thats why wazazi wetu waliishi pamoja kwa muda mrefu tofauti na sasa......
Kuna Jamaa mmoja Baada ya kuishi na Mke wake kwa Miaka 50 aliulizwa na Mwenzake Je? umewezaje kufanikisha hilo?.... Naye alijibu kuwa Nimeweza kukaa na mwenzangu kwa muda mrefu kwa kutokukaa nae kwa muda mrefu..... The point being sio mbaya kama mume na mke kuwa na some me time mume au mke anasafiri kidogo hata kwa wiki.. akirudi mwenzake anakuwa amesham-miss sio kila siku mpo wote 24/7 7 days a week for 365 days.. hapo ndo mwanzo wa kuchokana