Status za watsap nyingi ni kujaribu kujipunguzia stress tu za maisha
usi pay sana attention...
Hahahaaaa ....michambo. com
yako umeiandikaje vile.....
Hahha mkia wa wap huo [emoji39] [emoji39] ...Yangu nimeandika....."yangu tangaza yako kalia uote mkia"
Stress zinawasumbua kwahyo wanafikiri kuandika hivo wamefikisha ujumbe kumbe wanajitesa wenyewe.
Hahha mkia wa wap huo [emoji39] [emoji39] ...