status ya Second-level Domain (.tz)

status ya Second-level Domain (.tz)

Samedi Amba

JF-Expert Member
Joined
Nov 13, 2018
Posts
227
Reaction score
178
Za jioni wadau,
Poleni na mihangaiko ya leo. Ni sehemu ya maisha...

Nimekuwa nikiwaza - wenzetu Rwanda na Kenya washazindua second level domain kwa ajili ya kuandikisha tofuti zao. Kwa mfano, naweza kuregister jina samedi.ke au samedi.rw

Je hapa TZ bado tuna mwendo gani hadi kufikia lengo hili? Kama una info yoyote, karibu tushare.

Uwe na jioni njema...
 
swali: umuhimu wake ni nini ukiliganisha na za .co.tz ? ( .tz vs .co.tz )
 
swali: umuhimu wake ni nini ukiliganisha na za .co.tz ? ( .tz vs .co.tz )
Kwa mimi ninavyoona inapunguza wingi wa maneno
Mfano kama domain yako ni
john.co.tz
john.tz ndo itakavyokuwa

Mtumiaji ataikumbuka kwa urahisi zaidi kuliko hiyo ya .co.tz
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom