Mpaji Mungu
JF-Expert Member
- Apr 24, 2023
- 17,423
- 56,120
Sema mtoto bado mdogo sana ungehifadhi kwanza picha zake ukampost akifika kuanzia 5yrs hvMi ni mjanja wewe na Nina bahati sana Tu kama Una wasiwasi subiri kidogo nakaribia kwenda abroad utaziona picha nyingi.
Huo sasa ndo tunaita usnitchDuh
Umeamua kujilipua....
Nimefuta 😀Huo sasa ndo tunaita usnitch
Kwenye maisha yako umeona picha ngapi je zote umeziwazia athari zake?yaani kama kuna mpk picha za watoto wanazaliwa leo.binafsi siamini uchawi ndo maanaSema mtoto bado mdogo sana ungehifadhi kwanza picha zake ukampost akifika kuanzia 5yrs hv
Basi hasira zilikudhidi kaka ulivyofananishwa na haszu 😂😂😂Hata sijalewa Kabisa
Mi sijahusianisha na huko, sema nimeona kama bado mdogo sana ungesubir ukianza kwenda naye vacation hvKwenye maisha yako umeona picha ngapi je zote umeziwazia athari zake?yaani kama kuna mpk picha za watoto wanazaliwa leo.binafsi siamini uchawi ndo maana
Wee sio WA kuleta Uzi Kama huuKwanini mkuu na wakati kesho naenda KUKATA Kadi ya chama
❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️ NI love Tu hakuna kingine zaidi ya loveMi sijahusianisha na huko, sema nimeona kama bado mdogo sana ungesubir ukianza kwenda naye vacation hv
Amani sana mwenetu! Wakomeshe wamwera huko wajue Singida hatoki fala❣️❣️❣️❣️❣️❣️❣️ NI love Tu hakuna kingine zaidi ya love
Jf bwana ndo maana naunga mkono lissu Baba yangu akitoka asishighulike na watanzania wamesharidhika na lifeWee sio WA kuleta Uzi Kama huu
SINGIDA is blessed mzee kwa point zoteeAmani sana mwenetu! Wakomeshe wamwera huko wajue Singida hatoki fala
Who are you?Kwani JF siku hizi wanalipa mbona post nyingi sana unapost?
Feilyaaaaa!
Baba yake mzuri aisee kwenye hii point hunambii kitu
Feilyaaa mkubwaWho are you?