ndege JOHN
JF-Expert Member
- Aug 5, 2015
- 24,812
- 60,670
Mkuu wewe si ni bro?Yaani NI Raha ipost kitu WhatsApp halafu baada ya lisaa views 60 aisee halafu kiwe kitu Una proud of kama Mimi mwenzenu mwanangu alivyo mzuri na Baba yake mzuri aisee kwenye hii point hunambii kitu (bahati, upepo,nyota)
Usisahau kuna macho ya HUSDA....si kulogwa si uchawi.....HUSDA.....Yaani NI Raha ipost kitu WhatsApp halafu baada ya lisaa views 60 aisee halafu kiwe kitu Una proud of kama Mimi mwenzenu mwanangu alivyo mzuri na Baba yake mzuri aisee kwenye hii point hunambii kitu (bahati, upepo,nyota)
Huyu Leo amepitiliza idadi ya chupa kwa mama muuza πππ
Sema mwangu ule upara na jersey Yanga ni kamzozo.Sasa live nakupa assesment Ka search Facebook JOHN PASCHAL KILAKUNO..uje utoe mrejesho
Hakuna uchawi..pole Sana kama Una amini kuna uchawi..sipo level hizoUsisahau kuna macho ya HUSDA....si kulogwa si uchawi.....HUSDA.....
πMwandiko kama Haszu aliyeisha chaji
Mi ni mjanja wewe na Nina bahati sana Tu kama Una wasiwasi subiri kidogo nakaribia kwenda abroad utaziona picha nyingi.Sema mwangu ule upara na jersey Yanga ni kamzozo.
Anyway nimekutembezea likes za kutosha hapo
Kwanini mkuu na wakati kesho naenda KUKATA Kadi ya chamaNna uhakika hii I'd imedukuliwa
Sijawahi kufanya huu mchezo maisha yangu yote.Yaani NI Raha ipost kitu WhatsApp halafu baada ya lisaa views 60 aisee halafu kiwe kitu Una proud of kama Mimi mwenzenu mwanangu alivyo mzuri na Baba yake mzuri aisee kwenye hii point hunambii kitu (bahati, upepo,nyota)
Hajatembea,huijui dunia....wala the law of universe angalau positive and negative energies.Hakuna uchawi..pole Sana kama Una amini kuna uchawi..sipo level hizo
Hata sijalewa KabisaHuyu Leo amepitiliza idadi ya chupa kwa mama muuza πππ