Statoil discovers another big gas deposit off Tanzania! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Statoil discovers another big gas deposit off Tanzania!

Discussion in 'Major Projects in Tanzania' started by Askari Kanzu, Jun 14, 2012.

 1. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #1
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,511
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Statoil makes big Tanzania find
  By Helena Soderpalm and Balazs Koranyi
  OSLO | Thu Jun 14, 2012 5:20am EDT


  (Reuters) - Norwegian oil firm Statoil (STL.OL) discovered another big gas deposit off Tanzania, putting it within reach of having the gas needed for a project analysts say could cost over $10 billion to develop.

  Statoil and ExxonMobil (XOM.N) found 3 trillion cubic feet (Tcf) gas in the Lavani well 2,400 meters under the sea, and added 1 Tcf of gas to the nearby Zafarani discovery, giving them around 9 Tcf of gas, Statoil, the block's operator said on Thursday.

  Full story

  Na tutaendelea "kuliwa"!
   
 2. Oluoch

  Oluoch Senior Member

  #2
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 30, 2010
  Messages: 134
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mungu kaijalia Tanzania maliasili,tatizo lipo kwenye matumizi
   
 3. kwamwewe

  kwamwewe JF-Expert Member

  #3
  Jun 14, 2012
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,398
  Likes Received: 100
  Trophy Points: 145
  Hata hiyo hewa yote iwe ndio gesi bila ya kuwa na watu wenye kumwogopa Mungu inakuwa ni nakama tu
   
 4. Dotworld

  Dotworld JF-Expert Member

  #4
  Jun 14, 2012
  Joined: Aug 10, 2011
  Messages: 3,916
  Likes Received: 97
  Trophy Points: 145
  Askari Kanzu tunakoelekea kama viongozi wetu wataendelea kujali matumbo yao na kuwaendekeza wawekezaji na kutokuwasikiliza Watanzania wa kawaida ... nakuambia kweli kabisa ... tutakuja kupigana wenyewe kwa wenyewe hapa nchini kwetu!

  Haiwezekani nchi ina utajiri mkubwa ambao kupitia mikataba wanayoingia (ya kilaghai kama ile ile ya kina Karl Peters - tofauti hii ya sasa viongozi wetu wanajua wanafanya nini ila hawajali & hawana uchungu kwa nchi yao)

  Ipo siku wananchi hawa watachoka kulalamika - na wawekezaji watatufitini sisi kwa sisi kwa sababu ya rasilimali zetu ... na kwa staili ya viongozi tulionao hawa! - vita, the way I see it ... wala haiko mbali!
   
 5. Mystery

  Mystery JF Gold Member

  #5
  Jun 14, 2012
  Joined: Mar 8, 2012
  Messages: 5,435
  Likes Received: 2,113
  Trophy Points: 280
  Tatizo kubwa la viongozi wa-TZ hawana uzalendo hata chembe, maliasili Mungu ametujaalia ili ziwanufaishe wananchi wote, badala yake viongozi wetu wanaingia dili ya kuandaa mikataba bomu, ambayo inakuwa kwa manufaa yao peke yao viongozi, lakini hakuna chenye mwanzo kikakosa mwisho! Kwa kuwa umaskini tunaokabiliana nao sisi watanzania wa kawaida haulingani kabisa na utajiri mkubwa wa maliasili ambao Mwenyezi Mungu ametujaalia!
   
 6. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #6
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,323
  Likes Received: 172
  Trophy Points: 160
  Nimesoma lakini bado sijaona ni mkoa gani ilipogundulika!
   
 7. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #7
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,240
  Likes Received: 325
  Trophy Points: 180
  Hawa viongozi wetu hawana hofu ya mungu na iyo gas utashangaa tutakavyoliwa!
   
 8. F

  FJM JF-Expert Member

  #8
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Jamani nimeona jana kwenye michuzi blog balozi wa Israel Tanzania akikabidhi hati ya utambulisho kwa rais wetu. Nadhani yale makidai ya Ehud Barak kwamba Tanzania si chochote yanaanza kufifia? wanaona ni pa kukimbilia hapa, kuna mali.
   
 9. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #9
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 3,637
  Likes Received: 1,673
  Trophy Points: 280
  Imegundulika baharini, offshore, usawa wa kati ya Lindi na Mtwara. Hapo ndipo Staoil wana Block ya kutafuta mafuta na gas.
   
 10. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #10
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 3,637
  Likes Received: 1,673
  Trophy Points: 280
  Hii kweli habari mpya. Israel walikuwapo Tanzania kipindi cha nyuma, lakini ikabidi waondoke (walifukuzwa nadhani) kutokana na msimamo wa Nyerere kuhusu suala la Palestina. Kwa Nyerere Israel kuwa Palestina ulikuwa ni uvamizi usiokubalika. In fact, lile jengo lililopigwa bomu lililokuwa la ubalozi wa Marekani lilijengwa na Israel kama ubalozi wao Tanzania. Walipoondoka waliwapa Wamarekani. Israel pia walihusika sana na kuendeleza JKT Tanzania, hata combat za JKT wakati fulani zilitoka Israel. Na nadhani baadhi ya kambi za JKT zilijengwa na Israel. Pia makomandoo wa JW na watu wa usalama wa Taifa kuna wakati walipata mafunzo Israel. Suala la Palestine lilitibua sana uhusiano wetu na Israel.
   
 11. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #11
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,511
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ni hapa. Kwanza waligundua gesi Zafarani na sasa Lavani. Hawa Statoil nao wamekubuhu kwa rushwa huko Angola, Nigeria, Iran na hata Libya, kwa hiyo sidhani kama Tanzania itapona!

  [​IMG] Blokk 2:
   
 12. F

  FJM JF-Expert Member

  #12
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Askari Kanzu, mara baada bunge (kikao kilichopita) kuna team ya wabunge walienda Norway kwa ajili ya 'kujifunza' mambo ya gas/oil. Bado sijajua nani alimwalika nani, na nani alilipia hiyo safari. Kama ni Norway moja kwa moja hiyo itahesabika ni rushwa. Rushwa ya hawa watu ni mbaya sana maana wanahonga 'policy makers'.
   
 13. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #13
  Jun 14, 2012
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 402
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Tataizo si matumizi la hasha....ni kukosa kiongozi mwenye kichwa makini!!
   
 14. Synthesizer

  Synthesizer JF-Expert Member

  #14
  Jun 14, 2012
  Joined: Feb 15, 2010
  Messages: 3,637
  Likes Received: 1,673
  Trophy Points: 280
  Jamani, mambo mengine msiongee tu kwa kuwa mna jukwaa la kuongea. Statoil ni national oil company ya Norway, yaani kampuni ya serikali, na katika nchi ambazo ziko strict na mambo ya rushwa Norway ni moja wapo.

  Norwegian NGOs zinaweza kuishtaki kampuni binafsi ya Norway ambayo inaendekeza rushwa nje ya Norway. Statoil ni mojawapo ya makampuni mojawapo yenye mafanikio duniani kwa sababu wana operate kwa highest ethical standards.

  Kweli nchi kama Angola wanatuhumiwa sana kwa rushwa sector ya mafuta, lakini kusema Statoil wanahusika na rushwa ni tuhuma ambazo kweli kweli hazina pua wala mdomo. Maana una maanisha serikali ya Norway inajihusisha na rushwa kupitia kampuni yake ya Statoil. Kweli unajua unachosema hapa?
   
 15. T

  Tume ya Katiba JF-Expert Member

  #15
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 6, 2012
  Messages: 4,707
  Likes Received: 472
  Trophy Points: 180
  Ni matumaini yetu wenyeji wa mikoa ya kusini watanufaika na mapato yatokanayo na gesi.
   
 16. Eliphaz the Temanite

  Eliphaz the Temanite JF-Expert Member

  #16
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 2,778
  Likes Received: 304
  Trophy Points: 180
  Zis kantri Bwana iz veri pua! Halafu mimi huwa nashangaa sana Hivi hii gesi tunatumia majumbani si ya kuagiza nje? Hau kamz hatutumii yetu! oOOOOH hiyo chafu! Mbona songas wanaitumia?
   
 17. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #17
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,511
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Tatizo wengi tulilonalo tunaiona Norway kama kanchi kasafi lakini ukweli sivyo. Kuna kesi nyingi tu za rushwa zinazowakabili vigogo wa Statoil huko Norway. Inawezekana mlungula ushatembezwa tayari kwa "wachache" wa bongo.
   
 18. Askari Kanzu

  Askari Kanzu JF-Expert Member

  #18
  Jun 14, 2012
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 4,511
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 135
  Ninaongea kwa sababu hili ni swala nilijualo!

   
 19. F

  FJM JF-Expert Member

  #19
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,090
  Likes Received: 80
  Trophy Points: 145
  Synthesizer, Kuna kitu kinaitwa 'state corruption'. Norway sio wasafi kihivyo.
   
  Last edited by a moderator: Jan 4, 2016
 20. LiverpoolFC

  LiverpoolFC JF-Expert Member

  #20
  Jun 14, 2012
  Joined: Apr 12, 2011
  Messages: 10,987
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160


  Tuna viongozi wenye vichwa panzi!

  Lakini hakika mwisho wao waja!
   
Loading...