Statoil discovers another big gas deposit off Tanzania!

Tataizo si matumizi la hasha....ni kukosa kiongozi mwenye kichwa makini!!

Kumbe Tanzania tuna gesi nyingiiii, inaelekea na viongozi wetu vichwa vyao vimejaa Gesi hii na ndio maana hawafikiri vizuri
 
Synthesizer, Kuna kitu kinaitwa 'state corruption'. Norway sio wasafi kihivyo.

Wakuu, mbona mnanikatisha tamaa ya maisha! Sasa nitawalaumu hawa wa hapa kwetu ikiwa mambo ndio hivi duniani kote? Maana mie nilijuwa Scandnavian countries ni namba one duniani kwa mambo ya governance na transparency.
 
Wakuu, mbona mnanikatisha tamaa ya maisha! Sasa nitawalaumu hawa wa hapa kwetu ikiwa mambo ndio hivi duniani kote? Maana mie nilijuwa Scandnavian countries ni namba one duniani kwa mambo ya governance na transparency.
Mkuu ukilinganisha na uozo wa bongo hiyo itakuwa sawa. Lakini ukweli ni kwamba uozo wa rushwa uko duniani kote. Sema rushwa ya Norway haiendi kwa madafu ya Kikwete. Zamani, tuseme miaka thelathini iliyopita, ni kweli suala la rushwa katika nchi za Scandinavia lilikuwa nadra sana lakini kwa leo hii kuna kesi kadhaa za rushwa zinazojitokeza katika nchi hizi. Juzi juzi tu kampuni ya simu Telenor (Norway) imehusishwa na rushwa nzito huko India na hata mkataba waliokuwa nao na India kwa sasa una utata mkubwa. Hayo ndio maisha tuishiyo zama hizi.
 

Askari Kanzu,

..asante kwa taarifa uliyoileta.

..nimeona niweke habari nzima ili wananchi waweze kuelewa kinachoendelea.

..sasa ktk kuisoma hii habari naomba wasomaji wazingatie vipengele nilivyo-highlight kwa rangi nyekundu.

..kiasi kilichogunduliwa ni significant lakini hakitoshi kuwezesha commercial development.

..habari hii imetolewa na shirika la habari la Reuters.


Reuters) - Norwegian oil firm Statoil (STL.OL) discovered another big gas deposit off Tanzania, putting it within reach of having the gas needed for a project analysts say could cost over $10 billion to develop.
Statoil and ExxonMobil (XOM.N) found 3 trillion cubic feet (Tcf) gas in the Lavani well 2,400 meters under the sea, and added 1 Tcf of gas to the nearby Zafarani discovery, giving them around 9 Tcf of gas, Statoil, the block's operator said on Thursday.

"We would need another Lavani to feel comfortable we have the gas for commercial development," Tim Dodson, Statoil's exploration chief told Reuters. "But I expected more gas."

"The Tanzanian government's expectation that development would start in seven years is not completely unreasonable," Dodson added.

The discovery confirms East Africa's status as one of the world's fastest growing gas hubs with the U.S. Geological Survey estimating that 253 trillion cubic feet may lie off Kenya, Tanzania and Mozambique, relatively close to Asia's lucrative LNG markets.
Anadarko Petroleum (APC.N) earlier estimated its reserves off northern Mozambique at 50 trillion cubic feet while Eni (ENI.MI) said its neighboring exploration block may have 52 trillion cubic feet of gas.

"This is a highly significant discovery for Statoil," Trond Omdal, an analyst at Arctic Securities said.
"It would cost at least $10 billion to develop the field, and gas would not come to the market sooner than after 2020."

Dodson said Statoil would almost certainly opt for some sort of liquefied natural (LNG) gas solution but declined to provide a development cost estimate.

"Developing this will be quite a challenge given that in East Africa, like in Tanzania and Mozambique, there's limited infrastructure in place," Dodson said. "So it's going to take a little bit longer than if we had the infrastructure in place."

He added that Statoil was now in the process of securing rigs and making plans for further exploration activity.
"We estimate a value of the discovery plus the upgrade on the Zafarani discovery of NOK 1.3 per share," Swedbank First Securities said in a note. "We assume a fair share price reaction would be NOK 0.8-1.0 per share," it added.

The discovery confirms Statoil's recent track record for solid upstream success after it has made big finds in the mature areas of the North Sea, the Arctic Barents sea, in Brazil and Tanzania.

Statoil operates the license on 5,500-square-kilometre Block 2 on behalf of Tanzania Petroleum Development Corporation and holds a 65 percent stake while ExxonMobil Exploration has 35 percent.

Statoil shares were little changed 135.8 crown a shares at 0842 GMT.
(Additional reporting by Nerijus Adomaitis; Editing by James Jukwey and Elaine Hardcastle)

 
kinachosikitisha hadi sasa Tanzania haina Sera katika eneo la Mafuta na Gesi, tutakuja stuka too late kama ilivyo kwa Madini.

Oil and Gas companies are Among the most ruthless companies in the world in the environment and tax evasion and exemption. Msiba mwengine unakuja duh, no wander Zanzibar wanataka kuondoka katika Muungano.
 
sahauni kama mtakuja kuichimbua hii kitu...

safari hii ni zamu ya JK nae kumiliki ka kampuni ka gesi asilia
 

Askari Kanzu,

..asante kwa taarifa uliyoileta.

..nimeona niweke habari nzima ili wananchi waweze kuelewa kinachoendelea.

..sasa ktk kuisoma hii habari naomba wasomaji wazingatie vipengele nilivyo-highlight kwa rangi nyekundu.

..kiasi kilichogunduliwa ni significant lakini hakitoshi kuwezesha commercial development.

..habari hii imetolewa na shirika la habari la Reuters.



Jokakuu,
Bahati mbaya we rely 100% to the information given by the investors. From the experience we have had in mining, the information given does not represent the status quo after a given period of time. Can we independently confirm any of this information? Vinginevyo, wajinga ndio waliwao. Mgodi wa kwanza wa dhahabu tuliambiwa ungeisha baada ya miaka sita toka 1998. Mpaka leo hii unaendelea na processing. Unamilikiwa na Resolute na uko Nzega
 
Statoil makes big Tanzania find
By Helena Soderpalm and Balazs Koranyi
OSLO | Thu Jun 14, 2012 5:20am EDT


(Reuters) - Norwegian oil firm Statoil (STL.OL) discovered another big gas deposit off Tanzania, putting it within reach of having the gas needed for a project analysts say could cost over $10 billion to develop.

Statoil and ExxonMobil (XOM.N) found 3 trillion cubic feet (Tcf) gas in the Lavani well 2,400 meters under the sea, and added 1 Tcf of gas to the nearby Zafarani discovery, giving them around 9 Tcf of gas, Statoil, the block's operator said on Thursday.

Full story

Na tutaendelea "kuliwa"!

Watch out these big boys...they are up for something
 
Asalaam ndg Wana-JF! Ni kwa mujibu wa taarifa aliyotoa Waziri wa Nishati na Madini Prof Muhongo kuwa, Gesi asili kiasi cha Futi za Ujazo Trilioni 3 kimegundulika bahari ya Hindi maeneo ya Mkoa wa Lindi (Tanzania).

Kwa mujibu wa taarifa hii ni kuwa Watanzania kwa muda wa Miaka 3 - 4 ijayo wataweza kuachana na mkaa na kuanza kutumia gesi hii kwa matumizi ya Nyumbani.

Source: TBC1

My take:
Mungu anatupenda sana! Ametupa rasilimali za aina nyingi sana! Tatizo ni sisi wenyewe tunashindwa namna ya kuzitumia kwa discipline inayotakiwa ili ziwe na tija iliyokusudiwa, ni vyema basi tusubiri kwanza kabla ya kuchimba gesi hii mpaka hapo tutakapokuwa na uongozi thabiti ili sote tufaidi gesi hii kwani madini na rasilimali zingine zilishatushinda!
 
Ni Jukumu la serikali kuweka watu wake washiriki kikamilifu katika utafiti kuhakikisha kiasi kinachogundulika ni sahihi na pia kujua gharama halisi za utafutaji wa gesi na mafuta wasijeweka gharama kubwa za mradi na hivyo kupunguza mapato kwa serikali.
 
Askari Kanzu, mara baada bunge (kikao kilichopita) kuna team ya wabunge walienda Norway kwa ajili ya 'kujifunza' mambo ya gas/oil. Bado sijajua nani alimwalika nani, na nani alilipia hiyo safari. Kama ni Norway moja kwa moja hiyo itahesabika ni rushwa. Rushwa ya hawa watu ni mbaya sana maana wanahonga 'policy makers'.

mambo ya petroleum na gas wanajifunza kwa wiki moja? What a joke! Tupeleke vijana wengi sio wabunge wanaokwenda kwasababu ya per diem
 
Back
Top Bottom