sandet
Senior Member
- Mar 27, 2010
- 118
- 113
Habari,
Nauza ofisi ya Statinery pamoja na internet cafe iyopo Arusha, maeneo ya Kibaoni Ngaramtoni karibu na ATM ya NMB.
Ofisi ina vyumba viwili, kodi kwa mwezi ni Tsh 150,000/=, kimelipiwa hadi tarehe 31/10/2014.
Kuna bidhaa ndani vikiwamo statoneries,Epson printer, flash, headphonees n.k. kwa upande wa internet, kuna Monitor 3, ambazo zimeunganishwa na comuter moja mabayo ina control hizo monitor kwa kutumia Ncomputing devces (L-300).
Sababu za kuuza Nahama Arusha.
Bei pamoja na kodi iliyobakia in Tsh 15,000,000. Kwa aliye tayari anaweza kunipata kwa no. 0784 675 425