STATIONERY BNESS - Wapi naweza pata mzigo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

STATIONERY BNESS - Wapi naweza pata mzigo?

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by MJIMPYA, Aug 4, 2012.

 1. MJIMPYA

  MJIMPYA JF-Expert Member

  #1
  Aug 4, 2012
  Joined: Mar 27, 2011
  Messages: 465
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Wakuu,
  Naitaji kujua hasa kutoka kwa wafanya biashara ndogo ya stationery ni wapi naweza nunua vitu kwa ajili ya stationery yangu ndogo huku mtaani kwetu. Natafuta wauzaji wenye bei nzuri (ndogo).
  Niko Dar

  Asanteni
   
 2. M

  Malila JF-Expert Member

  #2
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 22, 2007
  Messages: 4,410
  Likes Received: 734
  Trophy Points: 280
  Ni pm nikupe contact
   
 3. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #3
  Aug 4, 2012
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 741
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Malila mwaga contacts hapa ili na watu wengine ambao wako interested waweze kuwasiliana na jamaa kibiashara.
   
Loading...