Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,131
- 29,789
I think this is a fake report!Fri 22 Sep 2017 07:00
ACACIA MINING PLC - Positive Results from Buzwagi processing trial
PR Newswire
London, September 21
22 September 2017
THIS ANNOUNCEMENT CONTAINS INSIDE INFORMATION
Acacia Mining plc
Positive Results from Buzwagi Processing Trial
Acacia is pleased to announce positive results from the processing trial underway at Buzwagi that has been designed to maximise gold doré production from the mine.
Buzwagi currently produces both doré (gold bars) and a gold/copper concentrate (with over 90% of the value of the concentrate being gold). During 2017, gold/copper concentrate has accounted for approximately 65% of Buzwagi's gold production. Since 3 March 2017, however, the mine has been unable to export and sell its concentrate, and as such has only been selling approximately 35% of its gold production, whilst incurring 100% of the cost of production.
The results of the processing trial to date have indicated that Buzwagi should be able to achieve gold recoveries of around 85% through the additional use of reagents in the leaching circuit at limited additional operating costs. All of the recovered gold will be produced in doré form. Buzwagi previously intended to end concentrate production in Q2 2018, but as a result of the trial the mine will solely produce doré from now until the end of its life in 2020.
There are no changes to group production or cost guidance resulting from this processing change, however it will result in Buzwagi being able to sell an additional 8,000-10,000 ounces per month for the remainder of the year. As such, Government royalties and local service levies (which are based on revenue) from Buzwagi are expected to more than double for the remainder of the year due to the increase in sales compared to the last 6 months. We believe that the changes will move the mine from a monthly cashflow negative position to a monthly cashflow positive position, strengthening Acacia's balance sheet and helping to protect thousands of direct and indirect jobs that the Company supports.
Doh. ulichokiandika hakiusiani kabisa na barua elezwa hapo juu..Alafu kesho utasikia wanafanya mambo kwa siri wakati kila wanachofanya hukiweka wazi kwa serikali na wana hisa wao.
Wametuibia kupitia sheria na mikataba tuliosaini na si vinginevyo.
Tuache kujikosha na kutafuta kick wakati ujinga ulikuwa wetu.
Tatizo ni kuwaona wale wanaohoji maamuzi ya wale tunaowaona "miungu watu" kama wasaliti.
Hata sasa kuna mambo watu wakihoji wanaonekana kama wahalifu lakini huko baadae yatakuja kututokea puani.
Ni kweli, siwezi kueleza hapa kwa undani. Ila fahamu mimi ni Metallurgist, sitaki kuingia in deep.Mimi nimechokoza mada kama layman, siwezi kubishana na weweSijaona unachojua. Bora kimya tu
Tutakachookoa kama Taifa ni kikubwa kuliko hzo ajira elfu 2 hiyo ela itakayopatkana kwa kudhbti huo wizi itawekezwa sehemu nyingne kama Viwanda n.k na ajira zitatengenezwa zaidi ya hzo elfu 2...Wanasema mtambo wa makinikia wanauzima jumla, ikumbukwe kule bulyanhulu zoezi la kuzima mtambo wa makinikia umewaacha watanzania elfu mbili bila kazi.
Tukumbuke mitambo hii miwili ilichangia asilimia 70 ya fedha za kigeni, safari hii tutakopa benki zote duniani kupata hela za kuagiza dawa na vifaa vya kujifungulia wajawazito.
Ur out of the Topic.. soma taarifa vizuri apo mnufaika ni serikali na Watanzania... wezi wameshikwa pabaya pia jtaid kuunga mkono ata jema la serikali /nchi yako usiwe negative kila kitu. ..Alafu kesho utasikia wanafanya mambo kwa siri wakati kila wanachofanya hukiweka wazi kwa serikali na wana hisa wao.
Wametuibia kupitia sheria na mikataba tuliosaini na si vinginevyo.
Tuache kujikosha na kutafuta kick wakati ujinga ulikuwa wetu.
Tatizo ni kuwaona wale wanaohoji maamuzi ya wale tunaowaona "miungu watu" kama wasaliti.
Hata sasa kuna mambo watu wakihoji wanaonekana kama wahalifu lakini huko baadae yatakuja kututokea puani.
Pole tafakar inawezekana ni vise versa. ..si lazma ucoment kila kitu soma taarifa uielewe...pia Isome kwa jicho la tatu. ..mspinge kila jema la nchi ....hii Nchi ni yetu soteWewe hujui kitu kuhusu hili. Tuhoji hela yetu ya kopa inalipwaje. Tuwaulize
Wewe ndio hujui ninachomaanisha mimi. Get a big picture u will understand what is behind my comment. Mimi ni zaidi ya unijuavyo hapa jf, nipo kwa ajili ya maslahi ya nchi na nipo pamoja na serikali yangu. Ongeza uelewa, utaelewa nini ninamaanisha.Pole tafakar inawezekana ni vise versa. ..si lazma ucoment kila kitu soma taarifa uielewe...pia Isome kwa jicho la tatu. ..mspinge kila jema la nchi ....hii Nchi ni yetu sote
Ushaanza kunyooka.Alafu kesho utasikia wanafanya mambo kwa siri wakati kila wanachofanya hukiweka wazi kwa serikali na wana hisa wao.
Wametuibia kupitia sheria na mikataba tuliosaini na si vinginevyo.
Tuache kujikosha na kutafuta kick wakati ujinga ulikuwa wetu.
Tatizo ni kuwaona wale wanaohoji maamuzi ya wale tunaowaona "miungu watu" kama wasaliti.
Hata sasa kuna mambo watu wakihoji wanaonekana kama wahalifu lakini huko baadae yatakuja kututokea puani.
Sijui wewe nikuite fenesi? Sasa uwazi wa hiari unaosema uko wapi! Watu wamelazimishwa kuchenjua dhahabu au kama hawataki waondoke. Ninyi mkawatetea kuwa wanaonewa kwa sababu mikataba inawaruhusu kutuibia dhahabu kupitia makinikia. Hadi sasa hakuna sheria mala mkataba wowote uliobadilishwa. Badala ya kuelewa kuwa wameshika adabu wewe unawapongeza wezi hawa!Alafu kesho utasikia wanafanya mambo kwa siri wakati kila wanachofanya hukiweka wazi kwa serikali na wana hisa wao.
Wametuibia kupitia sheria na mikataba tuliosaini na si vinginevyo.
Tuache kujikosha na kutafuta kick wakati ujinga ulikuwa wetu.
Tatizo ni kuwaona wale wanaohoji maamuzi ya wale tunaowaona "miungu watu" kama wasaliti.
Hata sasa kuna mambo watu wakihoji wanaonekana kama wahalifu lakini huko baadae yatakuja kututokea puani.
Ulisoma chemistry wapi?Jidu, taarifa ni sahihi wanazima mitambo ya makinikia hivyo watakuwa wanachukua dhahabu tu, kopa na silver watatupa jalalani, kumbuka kopa ni kama chuma ukiweka maji inapata kutu na kuyeyuka kama pipa la maji au karai la chuma, kwahiyo sisi ndio tutakosa kodi na mapato mengine zikiwemo ajira za vijana wetu.
haaaaaaah, we jamaa unafurahishaUlisoma chemistry wapi?
Hivi umewaelewa? Hebu rudia au utafute mtu akusaiedie kuelewa!Wameanza kuheshimu taratibu za Magufuli, safi sana, mimi kwenye suala la wakwepa kodi automatically naungana naye Magufuli
Subiri upate tafsiri sahihi ya hiyo taarifa!I think this is a fake report!
Wamebanwa hawa katika suala la makenikia, and losses are piling up.
They are trying to find a way ot to maintain same level income as before.
For this , Big Up Magufuli.
Kutukana watu hakutawasaidia, wala kukurupuka hakuwezi kushindana na akili kubwa! Jiandaeni tu kisaikolojia maana kwa mara nyingine tena kukurupuka kunawaingiza cha kike!Sijui wewe nikuite fenesi? Sasa uwazi wa hiari unaosema uko wapi! Watu wamelazimishwa kuchenjua dhahabu au kama hawataki waondoke. Ninyi mkawatetea kuwa wanaonewa kwa sababu mikataba inawaruhusu kutuibia dhahabu kupitia makinikia. Hadi sasa hakuna sheria mala mkataba wowote uliobadilishwa. Badala ya kuelewa kuwa wameshika adabu wewe unawapongeza wezi hawa!
How?Ironically, President Magufuli is publicly 'teaching' Tanzania farmers on how to be tax evaders!!
Nyie ni wasaliti tu, hilo halitobadilika, mnazidi jiongezea vyeo, mlikuwa mafisadi 2015/ 2016. 2017/ 2018 mmekuwa wasaliti.Alafu kesho utasikia wanafanya mambo kwa siri wakati kila wanachofanya hukiweka wazi kwa serikali na wana hisa wao.
Wametuibia kupitia sheria na mikataba tuliosaini na si vinginevyo.
Tuache kujikosha na kutafuta kick wakati ujinga ulikuwa wetu.
Tatizo ni kuwaona wale wanaohoji maamuzi ya wale tunaowaona "miungu watu" kama wasaliti.
Hata sasa kuna mambo watu wakihoji wanaonekana kama wahalifu lakini huko baadae yatakuja kututokea puani.
Kwa hiyo wewe ndio mjanja ha ha ha!Hasara nyingine kwa serikali. Ama kweli usicheze na mwenye akili.
Kilichofanyika hapa ni sawa na mtu mwenye shamba la mahindi (dhahabu) lililokuwa na mashina machache yaliyopo hapa na pale ya mbaazi (copper) na alizeti (silver). Alikuwa anavuna kwa kutumia combine harvester iliyokuwa inachambua mahindi punje kubwa na kuacha mahindi yenye punje ndogo, yakiwa yamechanganyika na mbaazi na alizeti.
Mchanganyiko wa mahindi punje ndogo, mbaazi na alizeti ulikuwa unapelekwa kwenye kiwanda chenye uwezo wa kutenganisha. Lakini katika mchanganyiko huo, katika thamani, 80% yalikuwa ni mahindi yenye punje ndogo.
Baada ya kuzuiwa kupelekwa mchanganyiko wa mahindi yenye punje ndogo, mbaazi na alizeti kwenye kiwanda, mvunaji ameamua kutafuta harvester mpya ambayo sasa itakuwa na uwezo wa kutambua mahindi yote hata kama yana punje ndogo kwa ufanisi wa 80%. Anaamua kuvuna mahindi tu, na kuacha mahindi ya punje ndogo 20% pamoja na mbaazi na alizeti, vyote viozee shambani.
Kwa sababu mchanganyiko wa mahindi yenye punje ndogo, alizeti na mbaazi, katika thamani, 80% yalikuwa mahindi ya pune ndogo, sasa alizeti na mbaazi haviwezi kuvunwa na kupelekwa kiwandani kwa faida.
Ikumbukwe kuwa silver na copper katika ile Au-Cu-Ag ore, concentration yake haifiki hata 0.1%. Ilikuwa inaongezeka baada ya kufanya concentration. Sasa haitakuwepo concentration. Hivyo Cu na Ag havitaweza kuwa extracted kwa faida.
Nini maana yake?
1) Ag itabakia kwenye tailings za mgodi, na haitachenjuliwa tena na kuuzwa
2) Cu itabakia kwenye tailings, haitachenjuliwa wala kuuzwa tena
3) Fine Au 20% itabakia kwenye tailings, na haitaweza kuchenjuliwa tena. Ifahamike kuwa mgodi wa Buzwagi average grade per tone ni 4g. Ina maana 20% ya average grade ni 0.8g/t.
4) Contractor wa usafirishaji makinikia na wafanyakazi wake, mambo yameishia hapo
5) Vituo vya mafuta mapato yake yatapungua
6) Mapato ya bandari yaliyohusiana na usafirishaji wa concentrates yameishia hapo
7) Kodi iliyokuwa ikitokana na mauzo ya concentrate ya Au-Cu-Ag, yameishia hapo.
8) Hakutajengwa kiwanda cha kuchenjua concentrates
Tulichoongeza ni royalty ya gold bar, na furaha ya moyo kuwa hatuibiwi kwa sababu sasa dhahabu inayozalishwa tutaiona kwa macho yetu, haipo katika mwonekano wa mchanga.
Nimeamini mwenye akili hakosi jibu. Wakati wote huwa na jibu la kukabiliana na mazingira yanayomzunguka. Mjinga unaweza kudhani umepata kumbe umepatikana