Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these days and that is too bad becuase from the western point of view kikwete looks like a stupid, incompetant ruler among the presidents you have had''. so jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
.... like a ..ruler among the presidents you have had''. .
Are you happy your President being insulted and without shame you published it!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these days and that is too bad becuase from the western point of view kikwete looks like a stupid, incompetant ruler among the presidents you have had''. so jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these days and that is too bad becuase from the western point of view kikwete looks like a stupid, incompetant ruler among the presidents you have had''. so jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
Ndo tatizo la kuwa taahira. Toa kinyesi chako hapa.Leo wakati nabadilishana e-mail na rafiki yangu ambaye ni mfanayakazi wa wizara ya mambo ya nje ya marekani NY. tulijikita zaidi kwenye ujenzi wa highway kupita hifadhi ya serengeti na mambo ya uchumi wa tanzania. alimponda sana JK na hapa nanukuu moja ya statements zake. " about tanzania these days and that is too bad becuase from the western point of view kikwete looks like a stupid, incompetant ruler among the presidents you have had''. so jamaa wanampaka mafuta kwa mgongo wa chupa.
JK alifaa kuwa DC tena wa wilaya isiyo na shughuli nyingi za kiuchumi.Presidency level NOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOOO!!!!!!!
I don't think so.......mtu wa state department hawezi kuchat kwenye email upuuzi kama huo. Wenzenu wanajua consequences za mambo kama hayo kwa USG kama ikitoka nje.. I presume ..ulikuwa unchat kwenye yahoo mail na janitor wa pale ubalozi Dar ambaye alikuwa na bad mood ya mwisho wa mwezi....wapelekee gazeti la uwazi..
Wewe ulikubaliana naye huyo jamaa ya kwamba anachokisema ni cha kweli?
Na kama wanaona rais ndo yuko hivyo si mara kwa mara huwa anaenda kwao kwa nini wasimwambie wao wenyewe? Kulikuwa na ulazima gani wa kumtukana kupitia wewe na wewe bila soni ukatuletea jamvini?
Kuhusu barabara, sijafanya na wala sijaona taarifa inayoelezea madhara ya kimazingira kutokana na kujengwa kwa hiyo barabara, lakini swali langu kwa watu wanaopinga ujenzi wa hiyo barabara mbona ya morogoro kwenda Iringa imekatiza mikumi na wanyama wameshazoea, hiyo ikakatiza serengeti hao watu wana ushahidi gani kwamba wanyama hawatakatiza kwenda kenya?
Mimi kwetu ni Magu kijiji ambacho kiko karibu sana na Serengeti, huwa kuna kipindi ambacho maji ni ya shida kwenye hifadhi wale wanyama wanakatiza barabara ya lami ya Mwanza Musoma kwenda kunywa maji ziwa victoria na nakumbuka miaka ya nyuma walikuwa wanaingia hadi vijijini wakati huo maeneo ya vijijini hayajafyekwa kwa ajili ya kilimo.
If your country has a stupid president why shouldn't you publish his short-comings?