ubongokid
JF-Expert Member
- Apr 30, 2017
- 2,043
- 3,932
Habari za Wakati huu;
Nimepitia hukumu ya kesi ya IGA ambayo imetolewa na mahakama kuu kanda ya Mbeya.
Nimetafakari kwa uchache tu namna ambavyo hukumu hii imeandikwa. Kwanza nimejikuta najiuliza hivi Mahakimu hawa ndio walioandika hii hukumu au hii hukumu iliandikwa na DPW kisha wakatumiwa waisome?
Kwanza kabisa hukumu kwa ujumla wakili inakubaliana na Ukweli kwamba MKATABA wa DPW ni BATILI. Ila katika hukumu wamejivua uwajibikaji.
kinachoendelea sasa hivi hapa TANZANIA ni kitu kinaitwa STATE CAPTURE-Utekaji wa Nchi.Kwa nini ninasema ni State Capture? Hizi ndio sababu:
Tunataka Tanhanyika yetu na tunataka Serikali isikie sauti ya Wananchi.

- Kwanza Sheria kadhaa zimerekebishwa katikamrengo wa kutaka kujenga mazingira ya kulinda maslahi ya DPW
- Pili tunaona namna ambavyo mahakama yetu imeshindwa kutimiza wajibu wa kisheria na kikatiba na kubaki na kigugumizi
- Tatu tuliona namna Bunge lilivyoendesha Mchakato wa kupitisha na hasa kwa kuzingatia kwamba mkataba huu ulikuja Bungeni kwa kuchelewa na kwa kimya
- Nne Tunaona namna ambavyo viongozi wa serikali akiwamo Rais SSH wanavohangaika kuutetea huu mkataba ambao kimsingi hauna maslahi na watanzania
- Kwanza kabisa Niwaalike Watanganyika POPOTE pale walipo washiriki katika kupinga jambo hili kwa kadiri ya nafasi na uwezo wao
- Pili Tanganyika na Watanganyika wote tutambue kwamba Watoto wetu watakuja kutulaumu na kutulaani
- Mwisho kwa wale ambao wanazo nafasi za kuhamasisha tuhamasishane sasa tuangalie namna ya kufanya Demonstration za kitaifa katika kila Mkoa,KIla Wilaya,Kila Mtaa na kila kijiji pamoja na wake zetu na watoto na marafiki tuandamane kwa pamoja kutetea Nchi yetu,Tanganyika yetu na Rasilimali zetu.
- Huu ni wito wangu Binafsi,Na mimi Tayari hapa nilipo ninajiandaa kwenda Dodoma kwa ajili ya Kuanza Maandamano Ampapo natarajia kufika Dodoma Tarehe 16 August.Nitaanza Maandamano hayo kutokea Dar es Salaam.Kwa yeyote ambaye yuko Tayari kushiriki anzia Popote Pale Ulipo Tukutane Dodoma Kuanzia Tarehe 16 August.
Tunataka Tanhanyika yetu na tunataka Serikali isikie sauti ya Wananchi.