StarTV mnaBOA

StarTV mnaBOA

dafity

JF-Expert Member
Joined
Aug 16, 2008
Posts
1,881
Reaction score
2,091
Kurudisha nyuma kila wakati hio tamthilia ya The Promise 2 ni ushamba na kutojali watazamaji wenu.

Natamani litivii lenu lifungiwe kama wakati ule. Shwaiin...
 
Usiwanyime nafasi wengine wanaopenda hiyo tamthilia,nashauri wakiwa wanaweka tamthilia hiyo badili tu channel kwa roho safi
 
Hii tamthilia nilifikir mama yake Eduardo alipokufa ajarini ndo inaelekea mwisho.......sasa naona kila siku inaonyeshwa kumbe inarudiwa....
By the way wale watu mhhh...hivi ni wa nchi gani??!!!
 
Kurudisha nyuma kila wakati hio tamthilia ya The Promise 2 ni ushamba na kutojali watazamaji wenu.

Natamani litivii lenu lifungiwe kama wakati ule. Shwaiin...
Ht mi wamenikera
 
Usiwanyime nafasi wengine wanaopenda hiyo tamthilia,nashauri wakiwa wanaweka tamthilia hiyo badili tu channel kwa roho safi
Acha kutetea uzembe. Inapaswa ionyeshwe mwanzo mpaka mwisho. Kurudiarudia tena bila taarifa kwa watazamaji ni USHAMBA
 
Naona Wapenzi wa futuhi mmekereka kweli kweli, Tv yenu kanda yenu!
 
Back
Top Bottom