Mo-TOWN
JF-Expert Member
- Oct 11, 2010
- 1,721
- 515
CCM na Serikali yake imefika hapo ilipo kwa sababu ya kuwa na watu kama NAPE ambao hawana kweli ndani yao na au hawajui wanapashwa kufanya nini zaidi ya kushika madaraka. Hivi NAPE anajua nini kuhusu KILIMO KWANZA? NAPE anajua nini kuhusu hali ya maisha ya wananchi wa kawaida?
Hivi NAPE anafahamu kuwa 20 yrs ago maisha ya Mtanzania (in all wise) yalikuwa bora zaidi kuliko leo hii? Badala ya kuwa na mawazo ya kuendeleza CHama na Nchi kwa ujumla bado anakuwa na mawazo ya kutetea mapungufu yanaonekana wazi.
TZ nchi pekee ambayo
Inawezekana vipi kiwanda cha matairi kinakufa wakati soko linaongezeka (idadi magari yanaongeza)!
Huduma za reli zimeyumba kuliko maelezo!
Bei ya sukari inashindwa kuwa managed wakati kuna chombo husika!
Mfumuko wa bei!
.....
NAPE ukweli ni kwamba CCM na Serikali wako mbali sana na wananchi....CCM na Serikali haikubaliwi na wananchi walio wengi isipokuwa tu kwa mujibu wa udikteta.