Namba za simu: 0732 782788/ 0658 782788
O658 782788 naambiwa haipo
From academic point of view nakubaliana na wewe kabisa lakini kiuhalisia nadhani iko tofautiWingi wa wabunge unaozungumziwa hapa ni wa uwiano wa wabunge vijana kwa wabunge wote. Je, ni chama gani kina uwiano mkubwa wa wabunge vijana?
Kwa hesabu za haraka haraka tu, NCCR inaongoza kwa uwiano, ikifuatiwa na CHADEMA, then CUF, CCM, na za mwisho ni UDP na TLP.
namuuliza tena Nape.
Anazungmzuaje uhusiano wa chadema na CDU? jee una manufaa kwa watz hasa ukizingatia Watz ni wamoja wa kidini kwa miaka mingi?
Shukrani Mkuu, tuendelee na mjadala wanajamvi