STARTIMES yamuua rasimi

atubariki

JF-Expert Member
Joined
Oct 26, 2011
Posts
225
Reaction score
17
Ndo niko live naona Star times wameamua kuziweka rasimi Star tv,Eat,Itv naona zote ziko =on test si unajua tena December imeshafika analogue bye bye karibu Digital
 
Hizo zote zitakuwa zinaonekana hata bila king'amuzi(itv,star,tbc)
 
Mkuu uko wapi, i mean mkoa? Isije kuwa ni mambo ya Dar tu!
 
Unamuuliza nani [ siyo Dar jamani tusilumbane kama u na king'amuzi cha Startimes washa utaona popote Tanzania coz mfumo wa analogue hautakiwi ,tunakwenda mambo Digital
 
ngoja nkirudi nyumbani afu nsizikute mtantambua mloleta huu uzi

samahani lakini
 
ippmedia wameshindwa kuanzisha king'amuzi chao na wao ? i don't like startimes.....!!!
 
Mbona hakuna kitu au ndio mambo ya kuzinguana na kupima upepo kama utapita?
 
Haya mambo ya kuhamia kwenye digital world wide mwisho ni 2015.. Sie tunawahi kuweka deadline ya 2012 Dec bila ya kufanya utafiti wa kutosha.. Walala hoi wengi hawajapata uwezo wa kununua hivyo Ving'amuzi bado.. Halafu wengi bado hawajui kama kuna zoezi hilo..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…