Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Nataka kujuwa gharama za kuweka star times digital. Gharama ya kifurushi cha
uhuru. List ya channels zote za package ya uhuru. Asante
 
Tafadhari ingia www.startimestv.com

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
Haya boss mimechaguwa hii
DTT_Uhuru.png

DTT_Uhuru Bouquet
TSh 20000

Jumla natakiwa kulipa kiasi gani? Jumla jumla kabisa boss?
 
Fine living, real time, fox news na fox life hizi zote zilikuwa kwenye package ya smart lakini siku hizi hazimo kabisa kwenye kisimbuzi chenu! Kulikoni?
Nashauri pia Hope channel iingizwe.
 
Mnapokuwa mnafanya mabadiliko ni vyema kutuarifu sisi wateja wenu.

Sio mtu anajipinda kulipia kifurushi akidhani kwamba channel zake pendwa zipo kumbe nyie tayari mnakuwa mmeshazihamisha inatia hasira.

Hayo mabadiliko ya real time na fox life tulipaswa kujulishwa lakini mlifanya kimya kimya, tujalini wateja wenu.
 
Pole kwa usumbufu tutafanyia kazi maoni yako

Sent from my SM-N920C using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom