Startimes Tanzania: Support thread (maswali, maoni na ushauri)

Star times,
Nimelipia king'amuzi changu tarehe 6 April lakini juzi kimenitolea message eti subscription imeexpire. Imekuwaje?
 
Wakuu nimependa Tcra Ya India Inavyofanya Kazi.

India wana mfumo mzuri sana. TCRA yao imepiga marufuku vifurushi vinavyouzwa na makampuni kama DSTV, Startimes, Azam etc kwa sababu mtu analazimishwa kulipia channels kibao na nyingine wala haangalii.

Wewe angalia kifurushi unacholipia sasa hivi kina channel hata 100 zinafika lakini unaangalia channel 10 au 15 tu.

Sasa Unalazimika kulipia channels kibao nyingine za kichina au kihindi wala huangalii

India mteja/mtazamaji anachagua channels anazotaka yeye kuangalia tu na inakokotolewa bei ya channels hizo alizochagua.
 
Duh hili nalo ni tatizo.
Watu waliowengi hapa wanatumia majina feki halafu uwaambie wataje walipo,kadi zao na namba za simu nyie mmetumwa na maadui zetu tunaowasema au?
Ila sitaongea sana maana mmeweka namba zenu za simu ingawa wakati mwingine hazipokelewi
 
Mimi ni mteja wenu tangu mwaka 2015. Nakumbuka kipindi hicho kifurushi cha chini kabisa kiliuzwa TSH 6,00/= kama sikosei. Ila leo mwaka 2021 kifurushi kinaanzia TSH 10,000/=. (Kifurushi cha nyota)

Swali langu, ni kwa nini kipindi kile mlikuwa mna wateja wachache lakini bei ya kifurushi ilikuwa chini, lakini leo wateja wengi halafu bei ya vifurushi ipo juu?

Mapendekezo;

Naomba mpitie bei ya vifurushi upya ili mumguse kila mteja.

Kwa mfano, ningependekeza, channeli za sports zile nne ziwe kwenye kifurushi cha nyota (TSH 10,000/=) kwa sababu, zinarusha ligi za Ulaya ila siyo England.

Niwaambiee tu ukweli, kule upande wa pili mtu analazimika kununua kifurushi kwa TSH 20,000/= kwa sababu ya ligi ya bongo (VPL), FA ya England, na baadhi ya mechi za EPL.

Sasa nyie mnaweka channeli za michezo kwenye kifurushi cha 20,000/= wakati hizo ligi ni nzuri ila siyo maarufu, binafsi siwezi kuzifuatilia. Kama nadanganya, hebu angalieni kwenye statistics zenu muone kifurushi cha Uhuru (20,000/=) kina wateja wangapi!

Punguzeni bei ya vifurushi mpate wateja wengi.
 
mkuu komaa na free chanel tu inatosha
 
Hawajibu maswali hawa sasa sijui waliweka page yao ili iweje huku
 
Kwenye maduka yenu kwa sababu gani mnauza remote fake kama zile zinazouzwa na wamachinga ?
Wamachinga wanauza 5000/= na nyie kwenye maduka yenu mnauza 7000/=. Fanyeni uchunguzi huenda wafanyakazi wahujumu kampuni.
 
Wakuu nimependa Tcra Ya India Inavyofanya Kazi.

India wana mfumo mzuri sana. TCRA yao imepiga marufuku vifurushi vinavyouzwa na makampuni kama DSTV, Startimes, Azam etc kwa sababu mtu analazimishwa kulipia channels kibao na nyingine wala haangalii.

Wewe angalia kifurushi unacholipia sasa hivi kina channel hata 100 zinafika lakini unaangalia channel 10 au 15 tu.

Sasa Unalazimika kulipia channels kibao nyingine za kichina au kihindi wala huangalii

India mteja/mtazamaji anachagua channels anazotaka yeye kuangalia tu na inakokotolewa bei ya channels hizo alizochagua.
Ndo maana wamejaza michanel mingi isiyokuwa na umuhim
 
Back
Top Bottom